Tundu Lissu hafai kuwa kiongozi kwasababu anatoa hadharani madhaifu ya Chama chake

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu

Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo

View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
 
Ndiyo kampeni yenu mpya mliyoiibua,najua mnajipanga ila bado hamjapangika,mkishajipanga tokeni mapangoni kama alivyowafundisha mwalimu wenu wa darasa la siasa.
 
Hajaanza leo na uongozi akapewa kisa mdomo wake... Hivyo wavumiliane tu 😂😂😂

Au hatutayafahamu 🤗
Coco karibu naona umeibuka muda wa kampeni maalumu,sijamwona tu rafiki yako stroke,Magonjwa Mtambuka na Comte.
 
Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu

Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo

View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL

Mtajuana wenyewe huko!
 
Weakness yake ndio hiyo, no brakes. Sometimes chama kinaogopa kumshirikisha baadhi ya mambo maana atayasema anytime
 
Jamaa ana mdomo mrefu anaenda hadharani kumsema Mwenyekiti
 
niwakumbushe chadema zoezi la uboreshaji daftari na uwandikishaji linaendelea kuchanja mbuga endeleni kumangamanga mtandaoni
 
Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu

Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo

View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL

Mbona mumemkalia sana kooni? Mwacheni apumue...Na nyie chukueni form basi mkagombanie huo uenyeti.
 
Acheni uongo ,Lissu ni kiongozi bora mwenye IQ ya ju ,Ndiyo maana CHADEMA kilimpa nafasi ya kupeperusha bendera 2020 Ku gombea kiti cha ju kabisa nchini petu cha urais.

Mengine mtsongea tu ,labda Kama mna jambo lenu
 
Anatakiwa aungane na Mbowe ili wafike salama badala yake anamrushia Mbowe madongo, wajenzi wa nyumba moja mkishagombana nyumba inaharibika
 
Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu

Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo

View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL

Hauna hoja
 
Si kila siku mlikuwa mnalalamika Mbowe amekaa muda mrefu sasa tunamleta Tundu Lissu mnaanza kupiga mayowe,Mwenyekiti Tundu Lissu Katibu Mkuu Heche. Maccm kutwa kucha mnaijadili Chadema tu.
 
Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu

Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo

View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL

sinza pazuri naona mmejipanga kupotosha. Nyuzi zenu za leo zinatosha au mtatoa nyingine?
 
Kwahizi chaguzi za kishenzi ndio unataka watu wakajiandikishe?
shilingi imeichakaza dola ndugu..uchumi umeimarika kwa huyu mama umakini wake ni kama anazidi kutumiminia miujiza kila kukicha upinzani endeleni kushupaza shingo
 
Back
Top Bottom