Ndiyo kampeni yenu mpya mliyoiibua,najua mnajipanga ila bado hamjapangika,mkishajipanga tokeni mapangoni kama alivyowafundisha mwalimu wenu wa darasa la siasa.Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Coco karibu naona umeibuka muda wa kampeni maalumu,sijamwona tu rafiki yako stroke,Magonjwa Mtambuka na Comte.Hajaanza leo na uongozi akapewa kisa mdomo wake... Hivyo wavumiliane tu 😂😂😂
Au hatutayafahamu 🤗
Mtajuana wenyewe huko!Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Weakness yake ndio hiyo, no brakes. Sometimes chama kinaogopa kumshirikisha baadhi ya mambo maana atayasema anytimeLissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Mbona mumemkalia sana kooni? Mwacheni apumue...Na nyie chukueni form basi mkagombanie huo uenyeti.Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Anatakiwa aungane na Mbowe ili wafike salama badala yake anamrushia Mbowe madongo, wajenzi wa nyumba moja mkishagombana nyumba inaharibikaAcheni uongo ,Lissu ni kiongozi bora mwenye IQ ya ju ,Ndiyo maana CHADEMA kilimpa nafasi ya kupeperusha bendera 2020 Ku gombea kiti cha ju kabisa nchini petu cha urais.
Mengine mtsongea tu ,labda Kama mna jambo lenu
Hauna hojaLissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Si kila siku mlikuwa mnalalamika Mbowe amekaa muda mrefu sasa tunamleta Tundu Lissu mnaanza kupiga mayowe,Mwenyekiti Tundu Lissu Katibu Mkuu Heche. Maccm kutwa kucha mnaijadili Chadema tu.Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Hawa nguruwe kwao ipo form moja tuMbona mumemkalia sana kooni? Mwacheni apumue...Na nyie chukueni form basi mkagombanie huo uenyeti.
sinza pazuri naona mmejipanga kupotosha. Nyuzi zenu za leo zinatosha au mtatoa nyingine?Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko yako ndani ya Chama chako ili kulinda madhaifu yenu na kuepuka kuchekwa na Wapinzani wenu
Anapotoa siri za Chama chake wapinzani hawatamuona mtu wa maana zaidi ya kumchanganya yeye pamoja na Chama chake kuwa wote ni watu wa hovyo
View: https://youtu.be/x3_N6gcPQW8?si=JHGkHwORS7GvLpGL
Wakati mwenyekiti hasemwi.Jamaa ana mdomo mrefu anaenda hadharani kumsema Mwenyekiti
Kwahizi chaguzi za kishenzi ndio unataka watu wakajiandikishe?niwakumbushe chadema zoezi la uboreshaji daftari na uwandikishaji linaendelea kuchanja mbuga endeleni kumangamanga mtandaoni
shilingi imeichakaza dola ndugu..uchumi umeimarika kwa huyu mama umakini wake ni kama anazidi kutumiminia miujiza kila kukicha upinzani endeleni kushupaza shingoKwahizi chaguzi za kishenzi ndio unataka watu wakajiandikishe?