Tundu Lissu hajatimiza ahadi aliyoahidi chamani ya $234,757 na magari 500. Wadhamini wake wamemkimbia

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,524
Reaction score
4,477
Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda

Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative

Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset

Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa

Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais

Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
 
Ccm wanapambana sana lissu asiteuliwe na chama chake, nimeambiwa na wadau wiki hizi watu Wa Lumumba watamwaga sana upupu ili wawagombanishe waliochukua fomu kwa fake comments wakijifanya chadema.Nawashauri chadema muda huu kuweni watulivu na wamoja.Vikao ndo viamue.
 
Aliwaahidi Chamani hela za Kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative

Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset

Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa

Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais

Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
Kifupi hana tofauti na "Mcharuko"!
 
Ccm wanapambana sana lissu asiteuliwe na chama chake, nimeambiwa na wadau wiki hizi watu Wa Lumumba watamwaga sana upupu ili wawagombanishe waliochukua fomu kwa fake comments wakijifanya chadema.Nawashauri chadema muda huu kuweni watulivu na wamoja.Vikao ndo viamue.
Hakuna mwana CCM wa kujifanya chadema humu wewe.ACha hizo
 
Chandema kwenye majibu ya barua Tundu Lisu aliyoandika kuomba kuteuliwa uraisi wamrudishie wamwambie aambatanishe na dola 234,757 na magari 500 aliyoahidi ili maombi yake yafikiriwe.
 
Lumumba mtaji wa mgombea ni kuwa charismatic...Mrema 1995 alikuwa na hela gani?Lissu atachangiwa mabilioni na wapenda demokrasia
 
Hivi huko Lumumba msipo mtaja LISSU hamzai? Mbona mnatia aibu? Kila uchao LISSU kama mna genye si mseme aje awatifue? Mnadhani Lissu ana haja ya kupikia pilau wanachi au kuwasomba na mafuso kama mnavyofanywaga na chama chenu?
Lissu aweza kuja akia hana kitu kabisa na akachangiwa hela nyingi na masikini wa tz kwa upendo wa dhati walio nao kwake sio kama ccm wanaosomba watu kwenye mafuso utadhani magunia ya mkaa.

Lissu anaweza jaza watu kuliko kiongozi yeyote aliyeahii tokea hapa nchini thats natural love acha na hawa akina yesu feki wanaolazimisha kupendwa hadi mnafungulia watu mashtaka kisa wanamkosoa.
Lissu hana haja ya kutoa sent yake kugharamia uchaguzi wananchi tupo tuna msubiri kwa hamu.
 
Siku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!
Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lisu kuandikwa na vyombo vya habari.

Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!
Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.

Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.

Shituka
 
Lile tangazo la Lissu kutangaza nia halikufika hata nusu saa haya masaa manne unayatoa wapi? Wacheni uwongo wa kitoto.
 
Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda

Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative

Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset

Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa

Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais

Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
Hiyo ahadi aliitolea wapi? Weka ushahidi wa ahadi ya Lissu hapa ili twende sawa. Mods na nyie mumelala jukwaa linafanywa kama magazeti ya Cyprian Musiba.
 
Siku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!
Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lisu kuandikwa na vyombo vya habari.

Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!
Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.

Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.

Shituka
Watu wanadhani hivi vitu vinatokea Bahati mbaya
 
Ccm wanapambana sana lissu asiteuliwe na chama chake, nimeambiwa na wadau wiki hizi watu Wa Lumumba watamwaga sana upupu ili wawagombanishe waliochukua fomu kwa fake comments wakijifanya chadema.Nawashauri chadema muda huu kuweni watulivu na wamoja.Vikao ndo viamue.

Nathani kwa vile anabebwa na mabeberu😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom