Tundu Lissu hajatimiza ahadi aliyoahidi chamani ya $234,757 na magari 500. Wadhamini wake wamemkimbia

Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda

Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative

Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset

Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa

Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais

Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
Happy nationBus=Bil 8
 
Lumumba acheni kuweweseka na Lissu bhna...mnamuogopea nn wkt mnajiaminisha kuwa chadema ilishakufa ?? subirini muone Kama chadema ipo ma lah...na Kama haipo why muweweseke?? Mbona mi..ku .ndu..ina wapwita pwita??
 
Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda

Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative

Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset

Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa

Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais

Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
Lisu tapeli
Lissu na Mbowe wanaisumbua sana ccm huu ndio ukweli. Yule mtu wa chattle kamwe hajiamini akiwaza watu hawa.
 
Back
Top Bottom