Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Kweli kabisa3Nadhani tuwaachie CDM wafanye yao. Waheshimu kanuni na taratibu zao.
Kifupi hana tofauti na "Mcharuko"!Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda
Aliwaahidi Chamani hela za Kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative
Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset
Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa
Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais
Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
New jesus in town amekataza matusi na kejeli.Lisu tapeli
Halafu mbaya zaidi naye Ni mgombea, inasikitisha sana mgombea mmoja anawapangia wagombea wengine nini cha kufanya kwenye kampeni na nini sio cha kufanya kwenye kampeni.je kuna uchaguzi huru hapo?New jesus in town amekataza matusi na kejeli.
Mambo ya Photoshop dah
Hakuna mwana CCM wa kujifanya chadema humu wewe.ACha hizoCcm wanapambana sana lissu asiteuliwe na chama chake, nimeambiwa na wadau wiki hizi watu Wa Lumumba watamwaga sana upupu ili wawagombanishe waliochukua fomu kwa fake comments wakijifanya chadema.Nawashauri chadema muda huu kuweni watulivu na wamoja.Vikao ndo viamue.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lile tangazo la Lissu kutangaza nia halikufika hata nusu saa haya masaa manne unayatoa wapi? Wacheni uwongo wa kitoto.Siku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!
Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lisu kuandikwa na vyombo vya habari.
Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!
Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.
Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.
Shituka
Hiyo ahadi aliitolea wapi? Weka ushahidi wa ahadi ya Lissu hapa ili twende sawa. Mods na nyie mumelala jukwaa linafanywa kama magazeti ya Cyprian Musiba.Kinachomponza TAL ni kukosa utulivu, yaani anatakiwa afikiri kabla ya kutenda
Aliwaahidi Chamani hela za kampeni ambazo zingesaidia kampeni ndani ya Chama lkn kwa sababu anategemea za kupewa imeonesha kuwa wadhamini wake wamefanya utafiti kuwa uwezekano wa uwekezaji wao kuzaa matunda ni negative
Kwa hiyo amenyimwa hizo pesa alizokuwa ameahidiwa kwa ajili ya kampeni kwa hiyo he is no longer an asset
Mwenye hela Moishe, Mbowe anashawishiwa na Pesa amejipima ubavu akaona kugombea ubunge na kushindwa aibu ni kubwa kuliko kugombea Urais na kushindwa
Lengo LA Mbowe ni kutokupoteza heshima yake anataka kuanzisha Season 2 ya kukijenga upya chama baada ya kushindwa Urais
Lakini pia hela hizi zisingeweza kuingia nchini maana Haramu kwa hiyo TAL ajilaumu kwa umasikini wake akumbuke kuwa mwenye Pesa ana nguvu kama Lowassa
Watu wanadhani hivi vitu vinatokea Bahati mbayaSiku moja tu baada ya Lisu kutumia masaa 4 akiwahutubia watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu wasiojulikana, kisha kukanyagwa kanyagwa na kuvunjwa mguu wa kulia bila mtoto wake James aliyekuwa ndani kusikia chochote ,badala yake akasikia Joyce Mkuya aliyekuwa umbali wa kilomita
5!!
Lengo la hili igizo ilikuwa ni kufunika habari ya Lisu kuandikwa na vyombo vya habari.
Kana kwamba haitoshi Mbowe baada tu ya kuruhusiwa kutoka hospitali ,huku akichechemea akatangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania!
Yani watanzania wakiwa na hamu ya kusikia report kutoka kwa Mbowe mwenyewe kwamba alivamiwaje, ilikuwaje ,badala ya kujibu hizo hoja ,yeye akaja na igizo jingine la kwamba kuna wazee wameenda nyumbani kwake kumshawishi awanie urais wa Tanzania!!.
Hivi Lisu unataka ufanyiwe nini ndiyo ujue kwa sasa hauhitajiki Chadema?
Haya maigizo ya mwenyekiti wako wa chama kufunika utangazaji wako nia hayajakuamsha tu?.
Shituka
Ccm wanapambana sana lissu asiteuliwe na chama chake, nimeambiwa na wadau wiki hizi watu Wa Lumumba watamwaga sana upupu ili wawagombanishe waliochukua fomu kwa fake comments wakijifanya chadema.Nawashauri chadema muda huu kuweni watulivu na wamoja.Vikao ndo viamue.