Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake.
Kuna mpuuzi mwezio alimuwazia hivyo lissu na akatekeleza upuuzi wake akatangulia kuzimu finyofinyo walianzia utosini hadi kwenye ushuzi
 
Ushujaa wa Lissu umetukuka .
Dr Samia Suluhu Hassan alimwita Tundu Antipas Mughwai Lissu kuwa ni simba dume zingatieni hili, sasa unakuta kunguni wa kijani kutoka kimpumu ameshindia mkaango na maji ya kwenye dimbwi anamchukulia poa Lissu
 
Aiseeee!!
 
Back
Top Bottom