Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni suala la muda tu .Ni Kweli hawezi nyamazishwa,
Pia hawezi kufa twice, arudi home haraka nduguze wanamhitaji kuendelea HARAKATI.
Ni saa ngapi? Watarusha na kwenye TV?Tunahesabu dk tu , naona tayari maandalizi ya BBC yamekamilika
Taarifa ilisema ni saa 12 jioni na itarushwa kwenye mitandao yote ya kijamiiNi saa ngapi? Watarusha na kwenye TV?
Tundu Antipas Mughwai Lisu..... NyaghaambaNaomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Tuliandika kabla ya yale mauaji ya kijinga waliyopanga , lakini bado anadundaTundu Antipas Mughwai Lisu..... Nyaghaamba
Bado sijaona chochote ukipata nipasie[emoji1545]Taarifa ilisema ni saa 12 jioni na itarushwa kwenye mitandao yote ya kijamii
Jamaa anaipenda kweli tanzania mpaka watoto wake kawapa uraia wa marekani!!!!Kweli jamaa mzalendo!!!Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
Nasikia na yeye anautaka uraisi?????Au ni mzalendo wa kawaida hataki vyeo bali anataka haki na madaraka????Acha wajaribu kupambana na huyu jamaa lakini kamwe hawatashinda. Lissu ni Heavy weight politician. Atazidi kuwaumbua kila uchao.
Kwahiyo chadema ni bora kuliko CCM ??????Mbona mnatuchanganya kaka wspiga kura wenu????Kichwa cha Lissu hakijapata mpinzani. Lazima ujipange haswaaaa.
Lissu ametangaza kurejea nchini 25/1/2023 , saa 7 mchana kupitia JK NYERERE INTERNATIONAL AIRPORTBado sijaona chochote ukipata nipasie[emoji1545]
Endelea kujifariji ili upunguze maumivuLISU wa 2016 ni tofauti kabisa na LISU wa 2022. Wa 2022 keshanyamazishwa kimyaa!!
Hakika .Endelea kujifariji ili upunguze maumivu
Basi sawaMwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake.