Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

Comment zingine bwana! Uliyekuwa unamtetea yuko wapi sasa na je yule wa kwenda Ukonga yuko wapi?😅😅😅
 
Comment zingine bwana! Uliyekuwa unamtetea yuko wapi sasa na je yule wa kwenda Ukonga yuko wapi?😅😅😅
 
Na madhara ya Lissu yameahaanza kuonekana.

Yule aliyejiita yohana mbatizaji anayebatiza kwa moto. Badala ya kubatiza yeye ndio kabatizwa na kupewa jina la Uchwara.

Huyo ndio Lissu bwana.
Na hatimaye akatokomea mazima
 
Uoga wako ndio umasikini wako, wale wafungwa kule ukonga ni watanzania wanaohitaji huduma za kisiasa , kwahiyo kama watakutana na shujaa lissu hiyo itakuwa bahati kubwa sana kwao.
Mungu ibariki JF
 
LISU wa 2016 ni tofauti kabisa na LISU wa 2022. Wa 2022 keshanyamazishwa kimyaa!!
 
Ripoti ya Osoro na Mruma pia Lissu alizitupilia mbali
 
Kama yeye ni mbabe, saa hizi yuko wapi? Hakuna mtu anayeweza kushindana na dola, hasa katika kipindi hiki. Hata kama una pembe ngumu namna gani ni lazima hizo pembe zitang'olewa na hatimaye utashika adabu tu.
Mbwa waoga wanaokunjia mkia matakoni ni hao wanaomwandama!
 
Back
Top Bottom