Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu 7 unayolipwa inakutokea puani ! tarehe ya uzi imekuwa tarehe yangu tena ! kuchanganyikiwa kubaya sana !Wewe unapambana au unatumiwa kama toilet paper? Wakuangalia tarehe ni wewe umejinga lini 2012 na mimi Je? Huna lolote wewe, unachojua ni uwongo ambao hauna mbele wala nyuma. Without people like me you wouldn't have been here with that privilege, na pumba zako pamoja na propaganda. Find another loser like yourself.
Unachekesha hehheheMwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake
Hiyo ndo gharama ya ukombozi. Nyerere angekuwa na watu waoga wa aina yako hii nchi isingepata uhuru. There is a price one has to pay for total liberty. Lissu utamuelewa badae saana.Mwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake
umeandika uzalendo mtupu !Hahaha yani walitaka kumuua ili nchi ibaki na wajinga watupu?!
Una muua Lisu wa nini badala ya kumtuma tusaidike?!
pole mkuuUkawa wanatapatapa
Ptuuuuuuh
Lissu abaki tu kwenye fani yake uongozi hawezi! Ni mashtaka tu kama mtoto mdogo. Alipomkashifu JPM huko nje alipata faida gani?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ukawa wanatapatapa
Ptuuuuuuh
Yetu machoNaomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.
Pamoja na vitisho vyote Lissu hakuwahi kumpigia magoti mtu yeyote na mwisho wa siku ukweli ulikuja kubainika, Mungu aziweke mahali pema peponi roho za wahanga wale, Amina.
Awamu ya nne ya Mh Profesa Kikwete makali ya Lissu ya kusimamia ukweli wote mnayafahamu, kuna wakati Dk Kikwete alinukuliwa akisema " NI HERI DR SLAA AENDE IKULU KULIKO TUNDU LISSU AINGIE BUNGENI " Dr slaa hakwenda ikulu lakini Tundu Lissu aliingia bungeni kwa kishindo.
Huyu mtu hanyamazishwi na wanadamu, atanyamaza pale tu Mungu atakapomtwaa kwa hiyari yake lakini si kwa hila za wanadamu wenye mwili na nyama.
HayaYetu macho
Uko hai au umekufa ? nataka kufahamu ili nikupe nenoMwaka huu atapigia kelele zake ukonga kwa wafungwa wenzie ila wafungwa watafaidika atakuwa anawaandikia rufaa wafungwa wenzake.
TL kisiki cha mpingo kile.Naomba hii iwe angalizo kwa wote wanaodhani wanaweza kumnyamazisha Tundu Lissu. Ukifuatilia tangu awamu ya 3 huyu mtu alikuwa mwiba halisi kwa kuanika ukweli kuhusu wachimbaji waliozikwa kibabe tena wakiwa hai kwenye mashimo ya madini huko kanda ya ziwa ili kupisha mwekezaji, Mh. Lyatonga Mrema na IGP Mahita wanalifahamu hili vizuri sana.