Hiyo ni theory ndogo tu; wewe unataka kumpokonya mwenye nafasi yake si lazima umjengee mazingira ya kuonekana hatoshi. UTAMSEMA TU HATA KAMA NI KWA KUPOTOSHA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Huwezi kufanya Ibada bila kumkemea shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Sasa akutaje wewe,Magufuli ndio Rais wetu na Lisu anautaka uraisi amtaje nani ataje wabunge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
sio nimebaka kisa flani kabaka, lissu sio tu anaijua sheria bali yy mwenyewe ni sheria, ivo basi tambua kua kashapeleka zaidi ya mafaili mia ya mapingamizi juu ya uvunjaji wa sheria za kampeni uliofanywa na Magufuli kabla ya kampeni ........Nasikia katika sheria hakuna utetezi wa "Nimebaka kwakua Castr kabaka"
Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Huwezi kufanya Ibada bila kumkemea shetani
Kwa hiyo anapiga kampeni au anatafuta wadhamini?? CCM haina haja ya kampeni, maana Mambo aliyoyafanya Jpm ni kampeni tosha.
Huyo Lissu sheria hazijui!Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Nadhani hii utakua umesikia kwa Musiba.Nasikia katika sheria hakuna utetezi wa "Nimebaka kwakua Castr kabaka"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.
View attachment 1536520
View attachment 1536519
View attachment 1536517
Magufuli anaongea katika capacity yake kama rais wa nchi kwa vile bado ni rais wa Tanzania hadi rais mwingine atangazwe na tume. Lissu anaongea kama mgombea anayeomba kuteuliwa na tume; kumbuka kuwa advantage ya incumbency huwezi kuiondoa, ipo duniani siku zote. Magufuli atakuwa na advantage hiyo dhidi ya mgombea yeyote hadi uchaguzi wa 2025 ambapo hakutakuwa na advantage hiyo tena labda mgombea wa CCM awe mtu ambaye tayari ana madaraka ya juu serikalini kama Makamu wa Rais au Waziri Mkuu..kwani hiki anachofanya TL kina tofauti gani na mikutano mingine ya hadhara ya vyama vya siasa?
..Je, na ule mkutano ambao Raisi aliwaambia waliokusanyika, kwamba wapinzani wakichaguliwa watavunja-vunja madaraja, nao ni kampeni kabla ya wakati?
Huyo ndo demu wake ?
Kulalaye hiki ni chuma cha puaWatu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Magufuli anaongea katika capacity yake kama rais wa nchi kwa vile bado ni rais wa Tanzania hadi rais mwingine atanganzwe na tume. Lissu anaongea kama mgombea anayomba kuteuliwa na tume; kumbuka kuwa advantage ya incumbency huwezi kuiondoa, ipo duniani siku zote. Magufuli atakuwa na advantage hiyo dhidi ya mgomea yeyote hadi uchaguzi wa 2025 ambapo hakutakuwa na advntage hiyo tena labda mgombea wa CCM awe mtu ambaye tayari ana madaraka ya juu serikalini kama Makamu wa Rais au Waziri Mkuu