Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Hiyo ni theory ndogo tu; wewe unataka kumpokonya mwenye nafasi yake si lazima umjengee mazingira ya kuonekana hatoshi. UTAMSEMA TU HATA KAMA NI KWA KUPOTOSHA
 
Yeye anadhani kila kitu ni sheria..sasa wenzie watamfundisha kuwa kuna taratibu pia..ye akisikia mavi anakunya popote kwa sababu hakuna sheria inayosema akanyee chooni??

Basi atatukana watu kwa kigezo tu kuwa hakuna sheria inayosema matusi.

Wakati ye anahangaika na rufaa watu wanapiga uchaguzi..akishtuka alishaliwa kipara muda tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Sasa akutaje wewe,Magufuli ndio Rais wetu na Lisu anautaka uraisi amtaje nani ataje wabunge
 
Nasikia katika sheria hakuna utetezi wa "Nimebaka kwakua Castr kabaka"
sio nimebaka kisa flani kabaka, lissu sio tu anaijua sheria bali yy mwenyewe ni sheria, ivo basi tambua kua kashapeleka zaidi ya mafaili mia ya mapingamizi juu ya uvunjaji wa sheria za kampeni uliofanywa na Magufuli kabla ya kampeni ........

Wkat ww unacheka, msajili kashakorogwa tayari maana kesi zote zina maana, CCM kabla hajapeleka Msajili kashavulugwa ... #LissuSioTuMwanasheriaBaliYyNiSheria.... mtatema ndoano kenge nyie
 
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Huyo Lissu sheria hazijui!
 
Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.

1597364975001.png

1597364632129.png

1597364552921.png
 
Hahaha tusubirie tarehe 25/8/20 tuone tume ya uchaguzi wanasemaje.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.

Utaachaje kumuongelea.NZI wakati wa cholera?
 
Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.

View attachment 1536520

View attachment 1536519

View attachment 1536517

..kwani hiki anachofanya TL kina tofauti gani na mikutano mingine ya hadhara ya vyama vya siasa?

..Je, na ule mkutano ambao Raisi aliwaambia waliokusanyika, kwamba wapinzani wakichaguliwa watavunja-vunja madaraja, nao ni kampeni kabla ya wakati?
 
Magufuli anaongea katika capacity yake kama rais wa nchi kwa vile bado ni rais wa Tanzania hadi rais mwingine atangazwe na tume. Lissu anaongea kama mgombea anayeomba kuteuliwa na tume; kumbuka kuwa advantage ya incumbency huwezi kuiondoa, ipo duniani siku zote. Magufuli atakuwa na advantage hiyo dhidi ya mgombea yeyote hadi uchaguzi wa 2025 ambapo hakutakuwa na advantage hiyo tena labda mgombea wa CCM awe mtu ambaye tayari ana madaraka ya juu serikalini kama Makamu wa Rais au Waziri Mkuu
 
Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Kulalaye hiki ni chuma cha pua
 
Magufuli anaongea katika capacity yake kama rais wa nchi kwa vile bado ni rais wa Tanzania hadi rais mwingine atanganzwe na tume. Lissu anaongea kama mgombea anayomba kuteuliwa na tume; kumbuka kuwa advantage ya incumbency huwezi kuiondoa, ipo duniani siku zote. Magufuli atakuwa na advantage hiyo dhidi ya mgomea yeyote hadi uchaguzi wa 2025 ambapo hakutakuwa na advntage hiyo tena labda mgombea wa CCM awe mtu ambaye tayari ana madaraka ya juu serikalini kama Makamu wa Rais au Waziri Mkuu

..Jpm ni raisi lakini pia ni mgombea mtarajiwa na ndiyo maana amechukua fomu.

..kwa hiyo kama kuna suala na "kampeni kabla ya wakati" basi linawagusa wagombea wote, bila kujali kama wana nyadhifa serikalini au hawana.

..advantage ya incumbency haihusiani na haki za wagombea, au wajibu wao ktk kuzifuata sheria za uchaguzi.

..na unapozungumzia incumbency hii ipo ktk ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge, mpaka Uraisi.
 
Back
Top Bottom