expirience man
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 214
- 104
Sasa si ndo vizuri Magufuli ashinde kirahisi. We furahia ushindi tu si kazi imekwisha kelele za nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Inabidi kuwa makini na hizo haki. Magufuli akiagize viongozi kukamilisha ujenzi wa mradi wowote, anaweza kuonekana anapiga kampeini, lakini siyo kweli atakeleza majukumu yake ya uraisi. Akiahidi kuwa serikali itafanya jambo fulani, bado ni mojawapo ya majukumu yake kama kiongozi wa serikali. Anaposema kuwa Mbunge fulani hakuleta matatizo ya jimbo lake serikalini kushghulikiwa ndiyo maana jimbo hilo halikuudumiwa kwa vile matatizo yake yalikuwa hayajulikani serikalini, bado ni sehemu ya kazi zake za uraisi. Kwa hiyo ukichambua sana utaona kuwa kuna mambo machache sana ambayo hawezi kuyasema kama raisi. Kubwa asiloruhusiwa ni kutumia majina ya chellengers wake kwenye mikutano yake ya kikazi kwa kuwaponda...Jpm ni raisi lakini pia ni mgombea mtarajiwa na ndiyo maana amechukua fomu.
..kwa hiyo kama kuna suala na "kampeni kabla ya wakati" basi linawagusa wagombea wote, bila kujali kama wana nyadhifa serikalini au hawana.
..advantage ya incumbency haihusiani na haki za wagombea, au wajibu wao ktk kuzifuata sheria za uchaguzi.
..na unapozungumzia incumbency hii ipo ktk ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge, mpaka Uraisi.
Sasa kwanini mnajambajamba?Kwa hiyo anapiga kampeni au anatafuta wadhamini?? CCM haina haja ya kampeni, maana Mambo aliyoyafanya Jpm ni kampeni tosha.
Inabidi kuwa makini na hizo haki. Magufuli akiagize viongozi kukamilisha ujenzi wa mradi wowote, anaweza kuonekana anapiga kampeini, lakini siyo kweli atakeleza majukumu yake ya uraisi. Akiahidi kuwa serikali itafanya jambo fulani, bado ni mojawapo ya majukumu yake kama kiongozi wa serikali. Anaposema kuwa Mbunge fulani hakuleta matatizo ya jimbo lake serikalini kushghulikiwa ndiyo maana jimbo hilo halikuudumiwa kwa vile matatizo yake yalikuwa hayajulikani serikalini, bado ni sehemu ya kazi zake za uraisi. Kwa hiyo ukichambua sana utaona kuwa kuna mambo machache sana ambayo hawezi kuyasema kama raisi. Kubwa asiloruhusiwa ni kutumia majina ya chellengers wake kwenye mikutano yake ya kikazi kwa kuwaponda.
Peleka upuuzi choo cha magu wewe. Ni katiba ipi ilikataza mwanasiasa asifanye siasa?Inabidi kuwa makini na hizo haki. Magufuli akiagize viongozi kukamilisha ujenzi wa mradi wowote, anaweza kuonekana anapiga kampeini, lakini siyo kweli atakeleza majukumu yake ya uraisi. Akiahidi kuwa serikali itafanya jambo fulani, bado ni mojawapo ya majukumu yake kama kiongozi wa serikali. Anaposema kuwa Mbunge fulani hakuleta matatizo ya jimbo lake serikalini kushghulikiwa ndiyo maana jimbo hilo halikuudumiwa kwa vile matatizo yake yalikuwa hayajulikani serikalini, bado ni sehemu ya kazi zake za uraisi. Kwa hiyo ukichambua sana utaona kuwa kuna mambo machache sana ambayo hawezi kuyasema kama raisi. Kubwa asiloruhusiwa ni kutumia majina ya chellengers wake kwenye mikutano yake ya kikazi kwa kuwaponda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Naelewa logic yako. Hata hivyo elewa kuwa bunge limeshavunjwa; Tanzania haina wabunge incumbent sasa hivi. Ndivyo ilivyo katiba yetu, iko crooked sana, lakini ndiyo sheria yetu kuu. Sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote, lakini vile vile haimzuii rais kufanya kazi zake kama rais...Na waziri ambaye ni mbunge advantage yake as an incumbent ikoje?
..Kama Raisi anaweza kusema mbunge hakuwasilisha matatizo ya jimbo serikalini, basi an incumbent MP naye ana haki ya kusema Raisi hakutatua matatizo ya jimbo aliyopelekewa.
..mimi kwa mtizamo wangu ni kwamba sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote. hakuna mgombea ambaye ni "mkubwa," au wa daraja la juu kuliko wengine.
Anakimbilia kimbilia mitandaoni au...😃😃😃
Ofisi za NEC anafahamu zilipo!!.. sisi hayatuhusu..
Magufuli 2020💯
Matusi hayakusaidii ndugu yangu. Kwa vile hujui sheria basi hilo siyo jukumu langu ila elewa kuwa sheria zipo, na siyo ngumu kueleweka na mtu yeyote. Zinapatikana kwenye tovuti ya tume. Ila iwapo unafurahishwa na matusi basi we endelea; nilitegemea kuwa tunafahamishana ukweli kuliko kupiga madebe hata ya uwongo na kutukanana.Peleka upuuzi choo cha magu wewe. Ni katiba ipi ilikataza mwanasiasa asifanye siasa?
Bunge limeshavunjwa; Tanzania haina wabunge incumbent sasa hivi. Ndivyo ilivyo katiba yetu, iko crooked sana, lakini ndiyo sheria yetu kuu. Sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote, lakini vile vile haimzuii rais kufanya kazi zake kama rais.
Waziri ambaye alikuwa mbunge kwa wakati huu ambapo hakuna bunge, anafakazi kama Waziri siyo kama mbunge. Hakuna sheria inayozuia serikali isianzishe miradi mipya au kukagua miradi inyoendelea wakati huu wa transistion; it sounds unfair but legal. Mradi tu ile miradi mipya iwe imepitishwa na Bunge...ina maana mawaziri wanaozunguka kukagua miradi wanavunja sheria?
..wakati wa kampeni za 2015 sikumbuki kama ilikuwa waziri au raisi ambaye alikwenda kuweka jiwe la msingi la sgr.
..ccm wana-abuse sana sheria za nchi yetu. Yes, katiba na sheria zetu zina matatizo, lakini hata sheria zilizopo hazifuatwi na ccm.
Ni magufuli ndiyo. Kwani inashindikana?Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Nasema tena na tena katiba ndiyo sheria hayo maandiko na matamko yaliyotukosesha haki miaka 5 sasa hayataheshimiwa tena.Matusi hayakusaidii ndugu yangu. Kwa vile hujui sheria basi hilo siyo jukumu langu ila elewa kuwa sheria zipo, na siyo ngumu kueleweka na mtu yeyote. Zinapatikana kwenye tovuti ya tume. Ila iwapo unafurahishwa na matusi basi we endelea; nilitegemea kuwa tunafahamishana ukweli kuliko kupiga madebe hata ya uwongo na kutukanana.
Waziri ambaye alikuwa mbunge kwa wakati huu ambapo hakuna bunge, anafakazi kama Waziri siyo kama mbunge. Hakuna sheria inayozuia serikali isianzishe miradi mipya au kukagua miradi inyoendelea wakati huu wa transistion; it sounds unfair but legal. Mradi tu ile miradi mipya iwe imepitishwa na Bunge.
Siasa ni references mkuu. Siasa bila sheria ni uditekta. Acha kujiabisha hata haya mambo madogo kutoyafahamu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Nasema tena na tena katiba ndiyo sheria hayo maandiko na matamko yaliyotukosesha haki miaka 5 sasa hayataheshimiwa tena.
Huwezi kuhubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani. Huwezi, ukiweza basi wewe sio mhubiri bali ni muabudu shetani tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.