Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Sasa si ndo vizuri Magufuli ashinde kirahisi. We furahia ushindi tu si kazi imekwisha kelele za nini
 
Binafsi sioni kampeni bali naona mapicha picha tu. CDM wamshauri Mgombea asijiingize kwenye Siasa za kutafuta huruma. Ajitahidi kujenga hoja na kutafsiri Sera za CDM na llani ya Uchaguzi kila apatapo nafasi. Watz hawana kiu ya kujua kwamba Nchi haina Demokrasia, haiko huru, nilipigwa risasi nk. Tuna kiu ya kujua CDM itafanya nni tukiipa nafasi ya kuingia lkulu!!
 
..Jpm ni raisi lakini pia ni mgombea mtarajiwa na ndiyo maana amechukua fomu.

..kwa hiyo kama kuna suala na "kampeni kabla ya wakati" basi linawagusa wagombea wote, bila kujali kama wana nyadhifa serikalini au hawana.

..advantage ya incumbency haihusiani na haki za wagombea, au wajibu wao ktk kuzifuata sheria za uchaguzi.

..na unapozungumzia incumbency hii ipo ktk ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge, mpaka Uraisi.
Inabidi kuwa makini na hizo haki. Magufuli akiagize viongozi kukamilisha ujenzi wa mradi wowote, anaweza kuonekana anapiga kampeini, lakini siyo kweli atakeleza majukumu yake ya uraisi. Akiahidi kuwa serikali itafanya jambo fulani, bado ni mojawapo ya majukumu yake kama kiongozi wa serikali. Anaposema kuwa Mbunge fulani hakuleta matatizo ya jimbo lake serikalini kushghulikiwa ndiyo maana jimbo hilo halikuudumiwa kwa vile matatizo yake yalikuwa hayajulikani serikalini, bado ni sehemu ya kazi zake za uraisi. Kwa hiyo ukichambua sana utaona kuwa kuna mambo machache sana ambayo hawezi kuyasema kama raisi. Kubwa asiloruhusiwa ni kutumia majina ya chellengers wake kwenye mikutano yake ya kikazi kwa kuwaponda.
 
..Na waziri ambaye ni mbunge advantage yake as an incumbent ikoje?

..Kama Raisi anaweza kusema mbunge hakuwasilisha matatizo ya jimbo serikalini, basi an incumbent MP naye ana haki ya kusema Raisi hakutatua matatizo ya jimbo aliyopelekewa.

..mimi kwa mtizamo wangu ni kwamba sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote. hakuna mgombea ambaye ni "mkubwa," au wa daraja la juu kuliko wengine.
 
Peleka upuuzi choo cha magu wewe. Ni katiba ipi ilikataza mwanasiasa asifanye siasa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.

Ulitaka asitajwe na ndiye anayevunja katiba na sheria?? au ni Bwana wako ulitaka asitajwe ??
 
..Na waziri ambaye ni mbunge advantage yake as an incumbent ikoje?

..Kama Raisi anaweza kusema mbunge hakuwasilisha matatizo ya jimbo serikalini, basi an incumbent MP naye ana haki ya kusema Raisi hakutatua matatizo ya jimbo aliyopelekewa.

..mimi kwa mtizamo wangu ni kwamba sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote. hakuna mgombea ambaye ni "mkubwa," au wa daraja la juu kuliko wengine.
Naelewa logic yako. Hata hivyo elewa kuwa bunge limeshavunjwa; Tanzania haina wabunge incumbent sasa hivi. Ndivyo ilivyo katiba yetu, iko crooked sana, lakini ndiyo sheria yetu kuu. Sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote, lakini vile vile haimzuii rais kufanya kazi zake kama rais.
 
Anakimbilia kimbilia mitandaoni au...😃😃😃
Ofisi za NEC anafahamu zilipo!!.. sisi hayatuhusu..

Magufuli 2020💯

Hii NEC kwani lini vile ilsema kitu dhidi ya CCM na vitimbi vyao vya kuvunja sheria na Katiba ya nchi ??
 
Peleka upuuzi choo cha magu wewe. Ni katiba ipi ilikataza mwanasiasa asifanye siasa?
Matusi hayakusaidii ndugu yangu. Kwa vile hujui sheria basi hilo siyo jukumu langu ila elewa kuwa sheria zipo, na siyo ngumu kueleweka na mtu yeyote. Zinapatikana kwenye tovuti ya tume. Ila iwapo unafurahishwa na matusi basi we endelea; nilitegemea kuwa tunafahamishana ukweli kuliko kupiga madebe hata ya uwongo na kutukanana.
 
Bunge limeshavunjwa; Tanzania haina wabunge incumbent sasa hivi. Ndivyo ilivyo katiba yetu, iko crooked sana, lakini ndiyo sheria yetu kuu. Sheria ya uchaguzi inawabana wagombea wote, lakini vile vile haimzuii rais kufanya kazi zake kama rais.

..ina maana mawaziri wanaozunguka kukagua miradi wanavunja sheria?

..wakati wa kampeni za 2015 sikumbuki kama ilikuwa waziri au raisi ambaye alikwenda kuweka jiwe la msingi la sgr.

..ccm wana-abuse sana sheria za nchi yetu. Yes, katiba na sheria zetu zina matatizo, lakini hata sheria zilizopo hazifuatwi na ccm.
 
Waziri ambaye alikuwa mbunge kwa wakati huu ambapo hakuna bunge, anafakazi kama Waziri siyo kama mbunge. Hakuna sheria inayozuia serikali isianzishe miradi mipya au kukagua miradi inyoendelea wakati huu wa transistion; it sounds unfair but legal. Mradi tu ile miradi mipya iwe imepitishwa na Bunge.
 
Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Ni magufuli ndiyo. Kwani inashindikana?

Duabi mnamo miaka ya 1960,S ilikuwa Ni jangwa lililokaliwa na watu masikini Ila Leo Ni bonge la jiji la kitalii zaidi hata ya nchi baadhi za ulaya. Sembuse Tanzania iliyobarikiwa kila kitu.

Kwa Akili hizi watu wakiwaita Nyumbu watakosea?
 
Matusi hayakusaidii ndugu yangu. Kwa vile hujui sheria basi hilo siyo jukumu langu ila elewa kuwa sheria zipo, na siyo ngumu kueleweka na mtu yeyote. Zinapatikana kwenye tovuti ya tume. Ila iwapo unafurahishwa na matusi basi we endelea; nilitegemea kuwa tunafahamishana ukweli kuliko kupiga madebe hata ya uwongo na kutukanana.
Nasema tena na tena katiba ndiyo sheria hayo maandiko na matamko yaliyotukosesha haki miaka 5 sasa hayataheshimiwa tena.
 
Waziri ambaye alikuwa mbunge kwa wakati huu ambapo hakuna bunge, anafakazi kama Waziri siyo kama mbunge. Hakuna sheria inayozuia serikali isianzishe miradi mipya au kukagua miradi inyoendelea wakati huu wa transistion; it sounds unfair but legal. Mradi tu ile miradi mipya iwe imepitishwa na Bunge.

..katiba ina mapungufu ya wazi.

..mihimili ya utawala ingekuwa imetenganishwa kusingekuwa na matatizo haya.

..raisi angeendelea kuwa raisi mpaka atakapochaguliwa mwingine.

..na wabunge wangeendelea kuwa wabunge mpaka watakapochaguliwa wengine.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Siasa ni references mkuu. Siasa bila sheria ni uditekta. Acha kujiabisha hata haya mambo madogo kutoyafahamu.
 
Nasema tena na tena katiba ndiyo sheria hayo maandiko na matamko yaliyotukosesha haki miaka 5 sasa hayataheshimiwa tena.

Kama wewe unahutubia kuvunja sheria zilizopo, basi endelea. Kama hujui ni kuwa katiba ina vifungu vingi sana vinavyosema kuwa bunge litatunga sheria kuhusiana mambo kadhaa. Kwa mfano katiba kuhusu uchaguzi wa Rais inasema hivi

1597376336965.png

Sasa wewe utasemaje unafuata katiba bila kufuata sheria ziliztungwa na Bunge?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!

Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Huwezi kuhubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani. Huwezi, ukiweza basi wewe sio mhubiri bali ni muabudu shetani tu.
 
Back
Top Bottom