acha kumfananisha Yesu na mambo ya ajabuamerudi nchini kakuta kila TV station, magazeti, radio na kila mahali watu wanamtaja Magufuli.
sasa kuna nongwa gani kwa Lissu naye kuwaunga mkono aliowakuta katika kulitaja hilo jina la "mtukufu yesu"??
Nakubaliana kabisa na wewe kuhusu mapungufu ya katiba yet; lakini ndiyo inayotuongoza sasa hivi. Kama taifa linalofuata sheria inabidi tuheshimu katiba yetu...katiba ina mapungufu ya wazi.
..mihimili ya utawala ingekuwa imetenganishwa kusingekuwa na matatizo haya.
..raisi angeendelea kuwa raisi mpaka atakapochaguliwa mwingine.
..na wabunge wangeendelea kuwa wabunge mpaka watakapochaguliwa wengine.
ndio ila anasema hayo ili kuwepo na usawa na wajue kuwa tunajua kuwa wanafanya makosa sio akifanya flani ni kosa akifanya huyu si kosaNasikia katika sheria hakuna utetezi wa "Nimebaka kwakua Castr kabaka"
Sheria yoyote haipashwi kupingana na katiba na ikitokea mkanganyiko katiba ndio utafuatwa. Unapashwa uelewe hivyo.Kama wewe unahutubia kuvunja sheria zilizopo, basi endelea. Kama hujui ni kuwa katiba ina vifungu vingi sana vinavyosema kuwa bunge litatunga sheria kuhusiana mambo kadhaa. Kwa mfano katiba kuhusu uchaguzi wa Rais inasema hivi
View attachment 1536540
Sasa wewe utasemaje unafuata katiba bila kufuata sheria ziliztungwa na Bunge?
Ungejua wewe ndio unapoteza muda wako kumtetea Magu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Magufuki ndio nani? Mbona mnapanick sana,kulikoni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Kampeni ya kitanda kwa kitanda unajua maana yake?Kwa hiyo anapiga kampeni au anatafuta wadhamini?? CCM haina haja ya kampeni, maana Mambo aliyoyafanya Jpm ni kampeni tosha.
Jifunze kuelewa sheria vizuri; sheria zote za Uchaguzi ziko pale kwa mujibu wa katiba. Nimekuonyesha vifungu vichache vya katiba vinavyotoa nguvu kwa sheria hizo.Sheria yoyote haipashwi kupingana na katiba na ikitokea mkanganyiko katiba ndio utafuatwa. Unapashwa uelewe hivyo.
Unasahau kuwa Lisu ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA?Magufuli anaongea katika capacity yake kama rais wa nchi kwa vile bado ni rais wa Tanzania hadi rais mwingine atangazwe na tume. Lissu anaongea kama mgombea anayeomba kuteuliwa na tume; kumbuka kuwa advantage ya incumbency huwezi kuiondoa, ipo duniani siku zote. Magufuli atakuwa na advantage hiyo dhidi ya mgombea yeyote hadi uchaguzi wa 2025 ambapo hakutakuwa na advantage hiyo tena labda mgombea wa CCM awe mtu ambaye tayari ana madaraka ya juu serikalini kama Makamu wa Rais au Waziri Mkuu
Duabi ni wapi?Ni magufuli ndiyo. Kwani inashindikana?
Duabi mnamo miaka ya 1960,S ilikuwa Ni jangwa lililokaliwa na watu masikini Ila Leo Ni bonge la jiji la kitalii zaidi hata ya nchi baadhi za ulaya. Sembuse Tanzania iliyobarikiwa kila kitu.
Kwa Akili hizi watu wakiwaita Nyumbu watakosea?
Sheria za Uchaguzi zinasimamia wagombea pamoja na vyama vya siasa; huwezi kuzivunja kwa kusema wewe ni mwenyekiti wa chama. Ni viongozi wa serikali tu ndio ambao hawaguswi na sheria zile kwa kiwango fulani, ingawa kuna sehemu zinawabana pia. Angalia hapa Sehemu ya pili.Unasahau kuwa Lisu ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA?
Hii picha kuna watu wanaumia sana
Yawezekana ungekuwepo kwenye kikao,asingepigwa zile 16,nina uhakika ungeshauri kua siyo tishio kwa Magu hivyo aachwe atambe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Fanya hata uchunguzi ndio uandike mkuu... Sio sababu lisu kaongea na ww unaandika tuu... Google hata deni la taifa ni kiasi gani mpaka muda huu.... Jamaa for 5yrs hajakopa hyo 40 tri kakopa less than that na kukopa sio dhambi....... Unafiki unaimaliza hii nchiKwani huwa wanaweka kumbukumbu ati Tanzania itakuwa donner country miaka 4 deni trillion 40
Kwa kuwa wewe ni Share huwezi kuona kingine alichokifanya Jpm zaidi ya kusikia deni la trillion 40.Mambo gani aliyoyafanya JPM? Kuiingiza nchi kwenye deni la trilioni 40 ndani ya miaka 4?
Anayelia hajui Kama amechukizwa, anayecheka hajui Kama kafurahushwa, Lala ukiamka kasimulie njozi za ulichokiona.Kampeni ya kitanda kwa kitanda unajua maana yake?
JNHPP, SGR, Ndege, Chato Int. Airport, Burigi Chato N.P, vyote vimeshindwa kujiongelea kwa wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Are u sure na hyo 40 trilion mkuu....chunguza basi sio sababu jamaa kasema ni ukweli ... Hajakopa 40 trilion .Mambo gani aliyoyafanya JPM? Kuiingiza nchi kwenye deni la trilioni 40 ndani ya miaka 4?
Kuna ubaya gani kumtajataja mtu aliyejaribu kukuua akashindwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Kwa hiyo hayo ndiyo wananchi wanataka kusikia kuhusu nini atafanya akichaguliwa?Kuna ubaya gani kumtajataja mtu aliyejaribu kukuua akashindwa?