Mt Paulo
Member
- Oct 27, 2018
- 79
- 55
acha kumfananisha Yesu na mambo ya ajabuamerudi nchini kakuta kila TV station, magazeti, radio na kila mahali watu wanamtaja Magufuli.
sasa kuna nongwa gani kwa Lissu naye kuwaunga mkono aliowakuta katika kulitaja hilo jina la "mtukufu yesu"??
pili usimpe utukufu mwanadamu hastahili