Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Unfortunately unatafsiri sheria ile kimakosa.Jiwe ndio anafanya kampeni sana au haujasikiaalivyosema kwenye mikutano yake aongeweze miaka mi5 amalizie viporo alivyoacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unfortunately unatafsiri sheria ile kimakosa.Jiwe ndio anafanya kampeni sana au haujasikiaalivyosema kwenye mikutano yake aongeweze miaka mi5 amalizie viporo alivyoacha?
Wengine wanapona kwa mpango wa nani, if I may ask?Kupona kwa mtu huyu ulikuwa mpango wa Mungu ili Tanzania ikombolewe baada ya Kikwete na Mkapa kuirudisha kuzimu
Na Hilo tulikusea tunawambia wakwa wanasema wao ndio watawala na kejeli nyingi tu .Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.
View attachment 1536520
View attachment 1536519
View attachment 1536517
Asante; nitaweka vifungu hivyo pole pole, usivikopi kabla sijaweza kuviweka vyote; nina kazi nyingine zitakazonichelewesha kuvitafuta vyote harakaharaka. Cha kwanza za ni hikiAsante mkuu Kichuguu, ila nitashukuru sana kama utaweza kupaste hapa kwa manufaa ya wengine pia kujielimisha.
[emoji120][emoji120]
Tunajaribu kuwafahamisha hawa jamaa wabishi sana, ila mwisho wao umefika kama wanategemea ubeligiji itaongea na sisi tutaongea kama taifa huru na wala hatuingiliwi uhuru wetu kama taifa, wavunja sheria lazima waadabishweAsante; nitaweka vifungu hivyo pole pole, usivikopi kabla sijaweza kucviweka yote; nina kazi nyingine zitakazonichelewesha kuvitafuta vyorte harakaharaka. Cha kwanza za ni hiki
View attachment 1536760
Hiki kinasema Campaign inaaaza baada ya wagombea kuwa nominated na tume. Kipindi cha kutafuta wadhamini siyo cha kampeini kama mtu anatumia kipindi hicho kuongea na prospective wadhamini tu. Akishaanza kuongea na wapiga kura wote katika kutafuta udhamini kabla hajawa nominated, anakuwa anakiuika maana ya campaini period. Nitaleta vingine pole pole; sheria huwa hazisomwi kama novel bali ni muunganiko wa mambo mengi na nitajitahidi kuyaleta yote.
Nani sasa anatasfiri? MATAGA si ndio wanasema kwamba lissu ashaanza kufanya kampeni? Lissu ndio kawajibu kwamba kama kufanya kampeni kabla ya muda basi Magufuli ndio anafanya tena zaidi ya miaka mi5 na hapa juzi juzi ameanza kutoa rushwa kila anapopita.Unfortunately unatafsiri sheria ile kimakosa.
Subiri oktoba utajua nani mjinga kati yangu na wewe!
Hasira hasara.Nani sasa anatasfiri? MATAGA si ndio wanasema kwamba lissu ashaanza kufanya kampeni? Lissu ndio kawajibu kwamba kama kufanya kampeni kabla ya muda basi Magufuli ndio anafanya tena zaidi ya miaka mi5 na hapa juzi juzi ameanza kutoa rushwa kila anapopita.
Sehemu ambayo Tundu Lisu anawaumiza kichwa maccm ni hapo kufanya mambo ambayo hayakatazwi na sheria za nchi yetu isipokuwa taratibu za maccm.Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Lishamba limoja hivi la sigimbi hukoAliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Aliyesema wapinzani wakipewa nchi watauza vyuma vya madaraja ni nani yule ?Sasa atapambanaje na mtu bila kumtaja kwenye Siasa mnataka kumpangia cha kusema ati bora kule sijui nini kama humuelewi si utamnyima tu kura unamia nini wengine wanapenda hivo anavofanya na watamchagua.
Huyu lissu ni tatizo sababa anajifanya anajua sheria kuliko mtu yeyote Tanzania.Huyu sijui anazungumza sheria za nchi gani kwani sheria za Tanzania ziko wazi sana kuhusu jambo hili. Kuna sheria ya Uchaguzi CAP 343 ya mwaka 2015, sheria ya matumizi ya Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010, pamoja na taarifa ya kawaida namba 722 kwenye Gazeti la serikali toleo la 23 la tarehe 5 June 2020. maandiko yote hayo yanasisitiza kuwa kampeini zinafanyika zikiwa zimeratibiwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa vile tume imeshasema kuwa kampeini zitaanza tahere 26 August, mtu yeyote anayefanya kampeini kabla ya wakati huo anavunja sheria. Maandiko hayo pia yameeleza maana ya kampeini ni nini.
View attachment 1536520
View attachment 1536519
View attachment 1536517
Asante; nitaweka vifungu hivyo pole pole, usivikopi kabla sijaweza kucviweka yote; nina kazi nyingine zitakazonichelewesha kuvitafuta vyorte harakaharaka. Cha kwanza za ni hiki
View attachment 1536760
Hiki kinasema Campaign inaaaza baada ya wagombea kuwa nominated na tume. Kipindi cha kutafuta wadhamini siyo cha kampeini kama mtu anatumia kipindi hicho kuongea na prospective wadhamini tu. Akishaanza kuongea na wapiga kura wote katika kutafuta udhamini kabla hajawa nominated, anakuwa anakiuika maana ya campaini period. Nitaleta vingine pole pole; sheria huwa hazisomwi kama novel bali ni muunganiko wa mambo mengi na nitajitahidi kuyaleta yote.
Kwasasa JPM ni Mgombea urais anapoenda Dodoma kuchukua form au kutafuta wadhamini anaenda kama mgombea na sio rais,jaribu kutofautisha kazi za Rais na mwenyekiti wa CCM ,Alivyoenda Lupaso alienda kama Rais.Hasira hasara.
Nimejibu swali hili huko nyuma kuwa Magufuli ni Rais wa Tanzania mpaka atakapoapishwa rais mwingine, kwa hiyo yeye kuwa mgombea haimzuii kuwa rais. Ataendelea kufanya kazi za uraisi ingawa zinawea kutafsiriwa kuwa ni kampeini. Ukirudi nyuma utakuta nilipoongelea hilo. Kuna mambo machache sana anayozuiwa wakati wale challengers wake wanazuiwa mambo mengi sana; inaitwa power of incumbancy.
Shukrani sana mkuu kwa kutoa elimu ndio maana lissu amesema hakuna kosa lolote kisheria amekosea kama basi amekosea basi JPM amekosea kwa muda wa miaka karibu mi5.Asante mkuu, ila hapo tuzungumzie kwenye 'nomination'.
Maana ya kuwa nominated ni kuwa umeteuliwa na tume kuwa mgombea wa nafasi husika baada ya kutimiza matakwa mengine ikiwemo wadhamini.
Na ukisoma pia vile vipengele vingine vinasema uteuzi wa tume utafanyika tar 25/08 na kampeni zitaanza tar 26/08 (siku 1 baada ya uteuzi wa tume). Kwa muktadha huo (kwa tafsiri yangu) mtu anaweza kuhesabika kuwa amefanya kampeni kabla ya muda ikiwa tu,
1. Ameteuliwa na tume kuwa mgombea wa nafasi aliyoomba kuteuliwa yaani tar 25 kwa mujibu wa tume na pia
2. Akaanza kampeni kabla ya muda uliowekwa na tume yaani kabla tar 26/08.
Kwa maana hiyo ili mtu atende kosa hilo atatakiwa kufanya kampeni tar 25/08 baada ya kuteuliwa.
Kwenye tafsiri ya sheria vifungu huwa vinasomwa kwa pamoja ili kuleta maana na sio kimoja kimoja.
Kwa muktadha huo technically ni vigumu sana mtu kitenda kosa hilo.
Idiot! Tatizo huwa Hakumbuki Jana Kasema niniWatu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
Kwasasa JPM ni Mgombea urais anapoenda Dodoma kuchukua form au kutafuta wadhamini anaenda kama mgombea na sio rais,jaribu kutofautisha kazi za Rais na mwenyekiti wa CCM ,Alivyoenda Lupaso alienda kama Rais.
Ndio maana tunataka katiba mpya kuondoa hayo makando kando(Loop holes) kufanya kampeni kwa kujifanya eti ni rais na sio mgombea.
Shukrani sana mkuu kwa kutoa elimu ndio maana lissu amesema hakuna kosa lolote kisheria amekosea kama basi amekosea basi JPM amekosea kwa muda wa miaka karibu mi5.