Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Huwezi kuandika kistaarabu ushuzi, halafu unafanya characterization kwa wengine? Pole sana tatizo la mashabiki Wa TL akili zenu za kipuuzi kama yeye,kiburi, halafu mnajihesabia haki , acheni hizo.
Nyie ndio mnatafuta midahalo si tunajenga nchi.Rais ni Wa wote kama humpendi hilo ni tatizo lako binafsi na sababu zinazokufanya usimpende.
JPM yuo kwa maslahi ya Tanzania na Watanzania, mnaotafuta maslahi binafsi mtasubiri sana.
Kama unashindwa Ku appreciate mazuri yanayofanywa na mtu kisa humpendi hayo ni matatizo binafsi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka ushahidi acha porojo. Lowassa alishinda labda kwenye familia yako. Watanzania tunaoishi hapa Tz kwa wingi wetu tulikikataa chama kisicho na misimamo cha chadema na gemge lao. Na mziki huu unaendelea mpaka upinzani uchwara unaoongozwa na chadema ufie mbali.
 
Hata wazungu hawamuelewi ila wanamcheki tu.
 
Bashite ndiyo Rais kwani mawazo yake yote hutekelezwa na magufuli likiwemo wazo la kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi kukandamiza demokrasia na Uonevu wote kwa Wapinzani, lengo lao likiwa ni kurejesha mfumo wa chama kimoja ka China.
Mkuu uko sahihi kabisa yaan bashite ana nguvu kinoma utadhan ndo waziri mkuu
 
Acha kujidanganya na mawazo yako ya kipumbavuuuu CHADEMA haitokufa kamwe usione tuko kimya tupo vijana kibao wenye akili timamu tunaisapoti chadema
 
Mkuu ulicheka uluposikia kwamba Lissu kasema Raisi hawezi kuzungumza Kiingereza, na pia unasema Kiingereza cha Lissu ni kama vile mtu aliemaliza chuo Bongo, na wakati huo huo unasifia kwamba dada yako hajawahi fika Kenya, pia babu yako alikua anajua kimombo sasa wewe unatofauti gani na Lissu kujisifia kuweza kiingereza? Pia huyo dada yako aliekushinda kuongea Kiingereza na amesoma bongo na wewe uliesoma combination za sayansi na kiingereza kina kushinda unataka uhalalishe kutojua kiingereza na kusoma sayansi hakuna uhusiano kati ya kutokujua kiingereza na kusoma masomo ya sayansi ambayo yameandikwa kwa Kiingerrza kama hujui Kiingereza wewe ni mzembe na mbumbumbu huwezi sema hujui kuongea kwa lugha ilioandikwa kwenye vitabu ulivuosomea
 
mkuu wala usimchukulie kuwa ni muhangaikaji amehoji kitu cha maana sana kutokana na upekee wa kile kiti nasifa zake..
Anahaja ya kujibiwa kwa hoja itakuwa hakuna maana yoyote kwa majibu kama haya.


Ajibiwe nini sasa kwani muhutu kiti cha urais ndo kinamfaa au?
 
Acha kujidanganya na mawazo yako ya kipumbavuuuu CHADEMA haitokufa kamwe usione tuko kimya tupo vijana kibao wenye akili timamu tunaisapoti chadema
Ok. Chadema haitakufa. Furahi sasa ila MTAENDELEA kuwa chama pinzani cha serikali iliyopo madarakani.
 

Huyu wasasa anahizo busara?
Kama unajua unajua tu....kama juzi na Masilingi.....
Kama kuna mwingine Mpelekeni....
Unadhani Mpaka wakaamua kumuua ulizani wajinga...
Walishamshindwa kwa Kila kitu ndiyo maana wakaamua Kummiminia risasi huku wakisahau hata akili ya kumuua hawana...
Yani wamezidiwa akili na Vidudu vya Malaria, Typhoid, Cholera ambavyo vinauwezo wa kuuwa....
Labda akili zao zinafanana na vidudu vya mafua vinavyoweza kutesa tu.....
 
hata akiwa bungeni hiyo ndiyo kazi yake sawa lakini aheshime wenzake basi hata pale anapoambiwa ukweli yeye hataki kiasi cha kuleta vurugu bungeni na hata kutolewa nje ...wewe unaambiwa kaa chini spika anaposimama kikanuni yeye hata utakuata amesisima tu na kutaka muongozo wake usikilizwe au kutolewa ufafanuzi yeye hataki.halafu ndo leo hii anataka kuwa Rais wa nchi sidhani kama anafaa.....
 
Katiba inamruhusu ila ni mtu wa visasi - anaweza kuwa Rais wa kwanza mbaya toka uwepo wa Tanganyika
 
una ushahidi au auanafuata mkumbo tu.....kama wale ambao ndo leo wamejua tofauti ya serikali nchi na taifa leo hii wanamshukuru Lissu kwa kuwaelimisha hayo...wakati hayo ni mambo yanayofundishwa darasa la tatu au la nne shule ya msingi kwenye elimu ya uraia zamani somo la siasa...sasa ndiyo nyie mnaofuata mkumbo tu kuhusu mambo mengi kama unavyoonekana katika comment yako.
 
Katiba inamruhusu ila ni mtu wa visasi - anaweza kuwa Rais wa kwanza mbaya toka uwepo wa Tanganyika
hata katiba inamruhusu lakini hana busara kuwa Rais wa nchi huru kama tz
 
Wanamwita genius, sasa nikajiuliza hivi genius anaweza kuongea kwa kuropoka hivyo. Ninavyojua magenius ni watu ambao wako very cool na mara nyingi hawapendi confrotation kwa sababu wanahitaji utulivu mkubwa ku focus kwenye issue zao
 
Wanamwita genius, sasa nikajiuliza hivi genius anaweza kuongea kwa kuropoka hivyo. Ninavyojua magenius ni watu ambao wako very cool na mara nyingi hawapendi confrotation kwa sababu wanahitaji utulivu mkubwa ku focus kwenye issue zao
na ndiyo sifu kubwa ya genius...hawapendi kelele kelele lakini genius huyu mmmh sauti juu hata jambo la kawaida tu mikono na vidole machoni kwa watu wanaojadili pamoja utafikiri ni vita ktk huo mjadala
 
vp jiwe anazo sifa
 

Mkumbo upi Mkuu?
Kama ukupata utapia Mlo utotoni, ukasoma vizuri, Ukalelewa na wazazi wote wawili, kwenye hili la Lissu unafanya conclusion kirahisi mno....
Tatizo kama upo kwenye ile 40% ya watoto wa kitanzania wanaokumbwa na utapia Mlo, alfu ukawa na Baba type ya Bashite, cheti hana na vitu kama hivyo....
Hapo utaangaika sana kwenye hii issue....
 
ni kweli kabisa hata kama yeye personal amepata attack hiyo ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana si kigezo basi kuwa sasa tz hakuna utawala bora hakuna demokrasia hakuna haki za binadamu hakuna uhuru wa kuongea.Lissu analazima hoja zake ziwe za kweli kwa ulimwengu kitu ambacho hao wanahabari wanaomhoji wanamuuliza kuhusu mazuri ya Tanzania wanayoyaona lakini Lissu anapindisha ukweli kiasi cha hata wao kumshangaa sana nimeangalia Hardtalk ya BBC,DW na huko Marekani VOA pia huoni hoja ya msingi kabisa zaidi ya kulazima hoja zake zikubalike hata na muongoza kipindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…