Hapo umenena mkuu. Watanzania wengi wenye busara wanaoana hivyo. Anadharau kubwa sana. Anajiona yeye anajua kila kitu. Yeye ndiye aliyetunga sheria na haki za binadam na Freedom of speech.
Ukweli hajui kitu. Ni mpayukaji tu na hajui hata kutoa hoja. Anacho zungumza ni utumbo tu kama mtoto mdogo. Mtu anaye jiita mwana sheria maarufu anazungumza kwenye jukwaa la kimataifa kama mtoto wa shule ya msingi. Mwana sheria maarufu anashindwa kujibu maswali rahisi kuhusu mambo mazuri ambaye Rais ameyafanya kwa ajili ya chuki! Kila akiulizwa anatoa mambo yale yale ambayo ameyakariri kichwani ili mradi tu asionekane anamsifu Magufuli!
Mmh! Kwa kijerumani hiyo tunasema "Das ist krank". Mambo ambayo yako kichwani ndiyo hayo hayo tu anataka kuyatoa matokeo yake anashindwa kupanga maneno vizuri kiasi kwamba inaonekana dhahiri kuwa anachuki na Rais, anachuki na mfumo wa serikali yetu, Bunge letu tukufu, mahakama na vyombo vya Dola na kadhalika.
Kila nikimsikiliza Tundu Lussu najiuliza mimi mwenyewe, inawezekanaje mtu kudai haki za binadam wakati yeye mwenyewe hivyo vitu anavyo vidai hawezi kuvi-impliment? Kwanza hajui vigezo vya ukiukwaji wa haki za binadam vikoje? Kwanza Lissu hana affinity na wanadam wenzake, hawaheshimu na wala hawathamini? Kwa vigezo hivi ni haki kweli anavyo payuka duniani kuwaonyesha wazungu kuwa yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadam Tanzania? Huu ni uongo!
Wakati yuko katika mkutano wa mambo ya sheria za Afrika jijini Washington D. C, Lissu alidai katika kauli yake moja kuwa Rais Magufuli hajui kuzungumza kiingereza ila yeye ndiyo anakijua.
Hii sentesi ilinichekesha sana, yaani mtu ambaye hata kupanga maneno yenyewe kwa kiingereza vizuri yanamshinda kiasi kwamna watu wakamwelewa ni nini hasa anaongelea, ana payuka hadharani kuwa Rais Magufuli kiingereza hajui. Kwa mtu ambaye amesoma Amerika na kuishi kwa mda Amerika mimi naona kiingereza chake ni kama cha mtu aliyemaliza chuo kikuu Bongo. Kiingereza chake ni cha vitabuni na sio cha tumboni.
Asijivunie kiingereza chake ambacho ukilinganisha na watu ambao wanaongea kiingereza yeye chake kinasikika kama cha mtu ambaye hata Amerika hajaishi. Nina dada yangu mwalim, nikisikilza kiingereza chake utafikiri cha mtu ambaye ametoka UK leo, lakini cha ajabu ni kwamba hata Kenya hajafika. Babu yangu kabla hajafa alikuwa anapiga kimombo na kijerumani vizuri sana, lakini Uingereza na Ujerumani hajawahi fika. Kwa mtu aliyesoma na aliyepata Masters yake George Washington the University of Law, kiingereza chake ni kama cha mtu aliyemaliza High school Bongo.
Tundu Lissu ni falah sana. Anapswa kupuuzwa. Ni mtu ambaye hana akili timamu na nafikiri bado ni mgonjwa. Akili zake haziko sawa sawa. Mbunge mzima anatoa pumba kama za watu ambao wako Manzese!
Yaani watu wanagharimia millions of T-shilings kumpeleka Tundu Lissu kwenye chuo cha Washington D.C ili kuwaeleza intellectuals kuwa Rais Magufuli hawezi kusema sentensi nzima kwa kiingereza? Ndiyo kauli za mtu mwenye busara hizo? Hivi mtu kama yeye anatakiwa afanye ujinga wa aina gani ndiyo watu waweze kutambua kuwa Lissu hakili hana?
Ndiyo inawezekana kuwa Rais Magufuli anashindwa kutamka baadhi ya maneno ya kiingereza lakini akisoma anaelewa na ndiyo maana amepata u-DOCTORATE.
Mbona watanzania wengi hasa wale ambao wamechukua masomo au combinations za masomo ya science kama PCM, PGM, PCB na mengineyo zamani tulimaliza high school na kuanza vyuo, lakini bado kiingereza kilikuwa hakipandi vizuri katika kuzungumza? Lakini katika kusoma watu walikuwa wanapata Max nzuri? Ina maana na sisi tulikuwa hatujui kiingereza?
Nawaomba wana CHADEMA msaidieni kamanda wenu. Hayuko vizuri. Kauli ambazo ana zitoa zunaonyesha kuwa Lissu hana ustaarabu wa kidiplomasia. Hazungumzi kama statesman mwenye reputation ya kimataifa. Lugha yake ni ya kijiweni au katika Bunge la migombani.
Ni uozo mtupu. Kama mnamtaka yeye aendelee kuwasemea duniani, kwa hali hii mtaumbuka wote. Inaonekana dhahiri kuwa wana CHADEMA wote ni vichaa na hivyo kufanya mdharaulike na hivyo kutokuwa na Credibility kubwa kwa Watanzania.
Sent using
Jamii Forums mobile app