Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

TL ni mjuaji na mwenye kiburi kisicho na faida, sidhani kama alipata malezi mazuri, hafai kabisa, labda kubeba mikoba yake ya vitabu vya sheria na kusunamia kesi mahakamanu, lakini ki uongozi ni Zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ni zero zuzu asiyejitambua unawezaje kujua zero mwingine? Kama umebariki udikteta wa magufuli na Bashite unawezaje kumkataa Tundu Lisu ambaye hana roho mbaya kama za wazazi wako? Malezi mabaya unayo wewe uliyelowea kuvuta Bangi mpaka akawa zuzu na mtetezi wa udikteta wa wasukuma wawili.
 
Lisu akiwa Rais atafanya midahalo na midia zote duniani, atafanya ziara Ulaya na Marekani. Midahalo kwa maendeleo.
Nchi haendeshwi kwa midahalo, wala haiendelei kwa midahalo na media, Angalia US President ana bifu na media karibu kila siku lakini anafanya vizuri katika uongozi, anaangalia maslahi ya nchi yake Kwanza katika kila kitu, na ndivyo anavyofanya Rais wetu mpendwa, Japo sikubaliani naye kwa kila kitu lakini Magufuli is better much better 10000 times kuliko huyo Kibaraka anafikiria kuwa nchi itaendelezwa na wapuuzi Wa nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna kitu kama hicho....shambulio la Lissu ni kama shambulio la mtanzania mwingine yoyote yule na tumeona hayo watu wanavamia nyumba ya mtu wanamwambia tumefuata roho yako sali sala yako ya mwisho na anashutiwa na kufa na uchunguzi huwa unafanyika na Jeshi la Polisi.kwani Lissu anatofauti gani na watz wengine.Tatizo lenu ni siku ileile kusema serikali ndo imefanya hayo wakatu huna ushahidi wowote.Ukiambiwa lete ushahidi hakuna hata mmoja aliyepeleka ushahidi huo kule Polisi Dodoma mnabaki tu kalalamika kwenye mitandao.
Tofauti yake anaenda kua Raisi wako
 
Kipi kizuri, kipi chanya kilichofanikiwa?
Elimu imekufa si umeeona matokeo?
Biashara zimekufa nenda mijini uone idadi ya makufuli
Diplomasia imekufa tunasemwa vibaya nje
Kilimo kimekufa check korosho
Export imekufa check dola dhidi ya shilling
Usalama wa RAIA mashakani wasiojulikana wana nguvu kuliko dola viroba,utekaji,mauaji
Makusanyo yameshuka pitia ripoti
Awamu iongozayo kwa upigaji, wizi,ufisadi hadi fisadi anapewa ubalozi, ushahidi wa rushwa pewa u rc
Umoja wa kitaifa umekufa ukanda udini check teuzi.
Deni la taifa juu.
Elimu haijafa ndugu watoto wanasoma na hakuna ada na idadi ni mara 2 walioandikishwa ubora wa elimu unaendele kuimarika
Diplomasia iko sawa na kama nchi hatuwezi kuingiliwa mambo yetu ya ndani na huo ni msimamo wetu
Kilimo hakijafa bali wapigaji wa kilimo hawana chao tena njia zimabana..korosho zimelipwa 5billion bado 2billion
Kushuka kwa sh hiyo toka Mwl Nyerere Dola imekuwa juu siku hadi siku...Tuongeze kuuza nje sh itaimarika
Mauaji yalikuwepo toka miaka ya nyuma na hata sasa yapo Polisi wanajitahidi sana kuimarisha ulinzi wa raia na mali zake
Makusanyo yameongezeka kutoka 800bilion mpak 1.3trillion kwa mwezi
Hakuna ufisadi wala rushwa zilizoongezeka ila mafisadi wengi wako lupango na kesi zao
Uteuzi wa kidini na ukanda ni mtazamo wako lakini hakuna kitu kama hicho
Deni la taifa limeongezeka kwasababu tuna miradi mikubwa SGR,Mradi wa umeme mkubwa,Meli kubwa ktk maziwa makubwa,Miundo mbinu ya barabara nk.
 
Wewe mwenyewe ni zero zuzu asiyejitambua unawezaje kujua zero mwingine? Kama umebariki udikteta wa magufuli na Bashite unawezaje kumkataa Tundu Lisu ambaye hana roho mbaya kama za wazazi wako? Malezi mabaya unayo wewe uliyelowea kuvuta Bangi mpaka akawa zuzu na mtetezi wa udikteta wa wasukuma wawili.
Ulichoandika tu kinaelezea jinsi ulivyo. Na makezu uliyoyapata kwa wazazi wako, Maelezo yako yanaelezea jinsi wazazi wako walivyo na ulivyolelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ongezi la serikali vs taifa ni la kijinga sana na kwa kweli wajinga wamelishikia bango.
Taifa linaongozwa na serikali iliyopewa mamlaka na wananchi.
Trust me, Zitto can make a way better president than lissu, thought it will never happen to any of them!
Wananchi wapi? Taifa lipi? Wananchi hawakumchagua magufuli kwani bila uchakachuaji leo hii lowasa angekuwa ikulu, Taifa halina uhusiano na matendo binafsi ya Bashite na baba yake magufuli acheni kuunganisha matendo binafsi yenu na Taifa.
 
Unaposema maneno anayotumia Lissu kwenye public hayafai, Je hayo yanayotumiwa na mwenyekiti wenu kwenye public yanafaa! Shughulikia kwanza boriti iliyo kwenye jicho lako kabla ya kutaka kushughulika na kibanzi jichoni mwa mwenzako.
kama maneno gani?
 
kama psychiatric case amekuwa commander-in-chief, kwa nini sober Lissu asiweze kwa mfano?
wote binadamu ni wagonjwa wa akili ila kwa viwango tofauti ukiwemo na wewe mwenyewe...boss hafai kuwa Rais kwasababu hana busara wala hekima ana amejaa kiburi na majivuno kuwa anajua kila kitu na yuko sahihi kwa kila jambo na kudharau wenzake
 
Ulichoandika tu kinaelezea jinsi ulivyo. Na makezu uliyoyapata kwa wazazi wako, Maelezo yako yanaelezea jinsi wazazi wako walivyo na ulivyolelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makuzi bora ni kuutetea udikteta wa Bashite na baba yake? au makuzi bora ni kutetea ukandamizaji wa demokrasia unaofanywa na Bashite na baba yake? Kama kigezo cha kulelewa vizuri ni kutetea mbinu za kuwapiga Risasi kuwabambikia kesi Wapinzani basi vigezo vyako vitakuwa vimetisha sana.
 
Wananchi wapi? Taifa lipi? Wananchi hawakumchagua magufuli kwani bila uchakachuaji leo hii lowasa angekuwa ikulu, Taifa halina uhusiano na matendo binafsi ya Bashite na baba yake magufuli acheni kuunganisha matendo binafsi yenu na Taifa.
Huyo Magufuli ndio rais wako wewe, mkeo, familia yako na viongozi wako. Hata lissu amekosa namna imebidi amtambue tu, wewe endelea na rais wa mioyo yako ila kikatiba ndio huyu usiyempenda na hauna namna.
 
Binafsi Zitto ni bora zaidi kuliko Lissu ktk uraisi.

Lisu ni mwanaharakati ila Zitto ni mwana mageuzi, he is very visionary,accountable and dedicated.

Natamani coalition ya upinzani imsimamishe Zitto
Zitto ni bora kwakeli kuliko Lissu ni kweli kabisa
 
wote binadamu ni wagonjwa wa akili ila kwa viwango tofauti ukiwemo na wewe mwenyewe...boss hafai kuwa Rais kwasababu hana busara wala hekima ana amejaa kiburi na majivuno kuwa anajua kila kitu na yuko sahihi kwa kila jambo na kudharau wenzake
Mshauri mkuu wa Jiwe ni Bashite asiye na vyeti unategemea nini hapo?
 
Huyo Magufuli ndio rais wako wewe, mkeo, familia yako na viongozi wako. Hata lissu amekosa namna imebidi amtambue tu, wewe endelea na rais wa mioyo yako ila kikatiba ndio huyu usiyempenda na hauna namna.
Hamna namna sasa kama unajua ni Rais iweje mnahangaika kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani si mkae mtulie mle trilion 1.5 na 10% kwenye miladi yote mpaka miaka yenu Utawala wa kifalume itapokwisha?
 
Back
Top Bottom