Kipi kizuri, kipi chanya kilichofanikiwa?
Elimu imekufa si umeeona matokeo?
Biashara zimekufa nenda mijini uone idadi ya makufuli
Diplomasia imekufa tunasemwa vibaya nje
Kilimo kimekufa check korosho
Export imekufa check dola dhidi ya shilling
Usalama wa RAIA mashakani wasiojulikana wana nguvu kuliko dola viroba,utekaji,mauaji
Makusanyo yameshuka pitia ripoti
Awamu iongozayo kwa upigaji, wizi,ufisadi hadi fisadi anapewa ubalozi, ushahidi wa rushwa pewa u rc
Umoja wa kitaifa umekufa ukanda udini check teuzi.
Deni la taifa juu.