Huna hoja zaidi kubaki na hayo maneno ya kwenye mitandao ambayo ukiitwa mahali mubashara ueleza utabaki kuomba msamaha tu na kuapa kutorudia tena kuongea hayo maneno.....uko huru ktk mitandao kuandika chochote unachotaka kwasababu hujulikaniMkumbo upi Mkuu?
Kama ukupata utapia Mlo utotoni, ukasoma vizuri, Ukalelewa na wazazi wote wawili, kwenye hili la Lissu unafanya conclusion kirahisi mno....
Tatizo kama upo kwenye ile 40% ya watoto wa kitanzania wanaokumbwa na utapia Mlo, alfu ukawa na Baba type ya Bashite, cheti hana na vitu kama hivyo....
Hapo utaangaika sana kwenye hii issue....
Huna hoja zaidi kubaki na hayo maneno ya kwenye mitandao ambayo ukiitwa mahali mubashara ueleza utabaki kuomba msamaha tu na kuapa kutorudia tena kuongea hayo maneno.....uko huru ktk mitandao kuandika chochote unachotaka kwasababu hujulikani
Busara,Hekima,Utulivu,Uvumilivu,Kuonyesha njia,Kuwa na maono,Heshima,Lugha nzuri,Elimu,kuwa na msimamo,Kujali haki za binadamu,KUthamini viongozi wenzako,kuwa na maadili,Kutokuwa na kiburi,kutoonyesha hasira hadharani.kuheshimu mila na tamaduni za wengine nkNilidhani ni vema ungeorozesha sifa anazohitaji kuwa nazo mtu ili afae kuwa rais! Ili tukaona ni zipi ambazo TL anakosa. Baɗala ƴake umeleta porojo.
wangapi wamepigwa risasu duniani na maisha yanaendelea ktk nchi zao.....who si Lissu......tuna mambo mengi ya kufikiri kuhusu nchi yetu Lissu asitupotezee muda bure hapa.Hoja makini za lissu dunia nzima inazijua isipokuwa wewe na walamba miguu wenzio.
Dah aisee pole sanaNimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.
Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.
Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.
Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
wangapi wamepigwa risasu duniani na maisha yanaendelea ktk nchi zao.....who si Lissu......tuna mambo mengi ya kufikiri kuhusu nchi yetu Lissu asitupotezee muda bure hapa.
Tatizo tulilonalo ni tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kuwa loyalty kwa mtu nasi taifa.Jiwe kauokota tu uraisi mimi mwenye kwa sasa nipo upinzani nashauri tu ni namna gani tunaweza shinda uchaguzi ujao.Kujipanga ni muhimu haswa kwa kipindi hiki ambacho waTz wengi walivyochoshwa na utawala huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kafanyiwa nini na nani mpaka alipize visasi?Katiba inamruhusu ila ni mtu wa visasi - anaweza kuwa Rais wa kwanza mbaya toka uwepo wa Tanganyika
Mwisho wenu umefika nao ni 2020Ok. Chadema haitakufa. Furahi sasa ila MTAENDELEA kuwa chama pinzani cha serikali iliyopo madarakani.
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.
Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.
Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.
Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
Kwani Rais aliyepo aliandaliwa kukamata madaraka zaidi ya Lo hasa?Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaongeza miaka tu, ilikuwa 2010 ikaja 2015 sasa ni 2020. Poa kamanda tunasubiri 2020.Mwisho wenu umefika nao ni 2020