tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
- Thread starter
- #221
Huna hoja zaidi kubaki na hayo maneno ya kwenye mitandao ambayo ukiitwa mahali mubashara ueleza utabaki kuomba msamaha tu na kuapa kutorudia tena kuongea hayo maneno.....uko huru ktk mitandao kuandika chochote unachotaka kwasababu hujulikaniMkumbo upi Mkuu?
Kama ukupata utapia Mlo utotoni, ukasoma vizuri, Ukalelewa na wazazi wote wawili, kwenye hili la Lissu unafanya conclusion kirahisi mno....
Tatizo kama upo kwenye ile 40% ya watoto wa kitanzania wanaokumbwa na utapia Mlo, alfu ukawa na Baba type ya Bashite, cheti hana na vitu kama hivyo....
Hapo utaangaika sana kwenye hii issue....