Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama


So, we're making progress.
Tumetoka kwenye "Hafai kuwa Rais, na na kutojua mambo.

Sasa limebaki tatizo moja tu, la "hana busara," ila mambo anayajua.

Hebu nieleze kama "kuwapigia watu shangazi zao" ni jambo la busara na linamfanya mtu anayetishia hivyo asiwe na sifa za kuwa rais wa nchi.
 
Nimesoma, terrible, hawa ndio wasomi wetu! Anajua na kijerumani! shame!
 
Waulize mamate wa Lissu kabla hujaropoka, of which I'm partly!

Huyo bwana akijua kitu anakijua na atakitetea come what may, kama hajui anakuambia bila aibu hajui.

Had mjui Lissu wewe!
 
Wivu tu unakusumbua,tatizo TL anajua na anawafanya muonekane empty na vituko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu tu unakusumbua,tatizo TL anajua na anawafanya muonekane empty na vituko

Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama anajua na wapo wengi tu wanajua mambo mengi kama yeye lakini hana heshima wala busara na hilo ni tatizo lake sehemu kubwa ya maisha yake na hata ukiangalia michangoi yake bungeni anajiona anajua sana na kudharau wengine na hilo kwa kwa baadhi ya wanasheria ni tatizo kubwa sana hasa wanapotumia taaaluma yao vibaya.
 
Kuliko yule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa presentation kama hii nani katika jumuiya ya academicians atakuheshimu! Watu wenye IQ hata ya wastani watakudharau! very shallow reasoning portrayed!
hata kama unajua mambo mambo kitaaluma hutakiwi kuonyesha dharau kwa wenzako.......'wewe mwanasheria wa wapi' hizo ni dharau kwa mwanataaaluma mwenzako
 
hata usipo quote bandika lakini boss wako hafai kuwa Rais ana mihemko kwa kila mahali ambapo anaitwa kuhojiwa na hata michango yake bungeni kila mchango wake utafikiri anagombana na wabunge wenzake au spika na dharau kibao kwa wenzake.utasikia anawaita wenzake 'misisiemu' huyo ndo anafaa kuwa Rais huyo.....
 
Hivi anaanzaje kuheshimu michango ya wenzake wakati wanaongea pumba? Come on men..

Sent using Jamii Forums mobile app
sijawahi kumsikia popote pale Mwl Nyerere akidharau mtu kwasababu tu alichokiongea hakina mantiki kama anavyofanya boss wako
 
Hoja legeeebuuu kama ugali mbichi wa muhogo.
boss wako anadharau sana na hana busara anapenda sana ubishi kila mahojiano yeye ni mbishi tu.na anapenda sana kutoa tuhuma,hukumu na kufunga kesi na hicho ndicho kinacho mgharimu.Hata mahojiano yake sasa yanaanza kukosa maana kimataifa.Na hasa anapoulizwa ataje vitu vitatu ambavyo Rais Magufuli amefanya vizuri... yeye anajibu kwa kukebehi Mwamoyo Hamza wa VOA akawa anamshangaa tu kejeli zake alipomuuliza swali hilo.
 
sijawahi kumsikia popote pale Mwl Nyerere akidharau mtu kwasababu tu alichokiongea hakina mantiki kama anavyofanya boss wako
Alipokuwa anamzungumzia yule wazuri muhuni/mchepukaji wa kule Uingereza ulimsikia vema alivyokuwa anamjengea picha kichwani?
 
Kiti cha Urais ni size ya nani? Cha hao wanakula trilion 1.5, kula 10% ununuzi wa ndege? au wanaojenga kiwanja cha ndege kijijni? Rais mzuri ni yule anayeminya demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…