Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Hata mkifanya IQ test kati ya wabunge wote wa CCM na Lissu; Lissu atawaacha mbali saana. Kwanza sidhani kuna mtu tena Lumumba atathubutu kukubali mdahalo na Lisuu baada ya juzi jamaa kuingia kichwa kichwa na kuaibika mbele ya mataifa.
 
boss wako anadharau sana na hana busara anapenda sana ubishi kila mahojiano yeye ni mbishi tu.na anapenda sana kutoa tuhuma,hukumu na kufunga kesi na hicho ndicho kinacho mgharimu.Hata mahojiano yake sasa yanaanza kukosa maana kimataifa.Na hasa anapoulizwa ataje vitu vitatu ambavyo Rais Magufuli amefanya vizuri... yeye anajibu kwa kukebehi Mwamoyo Hamza wa VOA akawa anamshangaa tu kejeli zake alipomuuliza swali hilo.
Unateseka sana na Lissu. Mwamoyo Hamza uligunduaje anamshangaa Lissu?Unalazimisha Lissu awe unavyotaka weye?Kila binaadamu ni unique. Vumilia tu.There goes Lissu!
 
Kiti cha Urais ni size ya nani? Cha hao wanakula trilion 1.5, kula 10% ununuzi wa ndege? au wanaojenga kiwanja cha ndege kijijni? Rais mzuri ni yule anayeminya demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani?
hayo yote unayoaandika ni dhana tu hakuna ukweli wake...ukiambiwa weka ushahidi wake huna hata kitu kimoja unabaki na mijadala kama hiyo kwenye mitandao tu na hilo ndilo ambalo boss wako Tundu Lissu analolifanya kutaka kuaminisha watu kitu ambacho hakipo.Boss hana sifa hizo kuwa Rais anadharau sana na kukebehi watu tena wenye taaaluma zao na kujiona yeye anajua sana na amesoma sana.
 
Mbona kila siku mnarudia hayohayo jiwe alikuwa na sifa gani kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za CCM kuwa Rais eti lazima ujue kuiba kisayansi kama walivyoiba trilion 1.5 sasa na ujue kucheza na dili za madini kama wanavyouza makinikia kimya kimya wanakula pesa wenyewe na sasa Waziri wa madini ni musukuma, na sifa zingine ni kujua mbinu za uchakachuaji kwenye chaguzi mbalimbali kuminya demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani, kwa sasa hizo ndizo sifa za CCM.
 
Unateseka sana na Lissu. Mwamoyo Hamza uligunduaje anashangaa Lissu?Unalazimisha Lissu awe unavyotaka weye?Kila binaadamu ni unique. Vumilia tu.There goes Lissu!
najua kila mtu ni wa kipekee kwa jinsi alivyo lakini kuna mengine ni atahri za kuzaliwa na malezi yake huchangia tabia na mitazamo ya leo tunavyomuona.....ukisoma Developmental Psychology utayajua hao
 
hayo yote unayoaandika ni dhana tu hakuna ukweli wake...ukiambiwa weka ushahidi wake huna hata kitu kimoja unabaki na mijadala kama hiyo kwenye mitandao tu na hilo ndilo ambalo boss wako Tundu Lissu analolifanya kutaka kuaminisha watu kitu ambacho hakipo.Boss hana sifa hizo kuwa Rais anadharau sana na kukebehi watu tena wenye taaaluma zao na kujiona yeye anajua sana na amesoma sana.
Kila mtu anajua wataka ushahidi wa nini ngoja atoke madarakani kila kitu kitakuwa wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unateseka sana na Lissu. Mwamoyo Hamza uligunduaje anamshangaa Lissu?Unalazimisha Lissu awe unavyotaka weye?Kila binaadamu ni unique. Vumilia tu.There goes Lissu!
Kwanza bila wao na Bashite kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko ulaya na Marekani akiongea angekuwa yupo bungeni, kisababishi cha yote ni wao na inashangaza huko CCM badala wakae vikao wamjadili Bashite wamkanye kuacha mbinu za kishetani wamekalia kubariki mbinu zake na kumsaidia kujitetea.
 
najua kila mtu ni wa kipekee kwa jinsi alivyo lakini kuna mengine ni atahri za kuzaliwa na malezi yake huchangia tabia na mitazamo ya leo tunavyomuona.....ukisoma Developmental Psychology utayajua hao
Kwa namna nchi ya Tanzania ilivyopata mgawiko mkubwa kwa Wananchi wake kutokana na maneno ya kuudhi na kejeli ya Magufuli unamlinganishaje na Lissu?
 
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.

Viongozi wazuri duniani wametoka fani za Sheria, uchumi, biashara, ni nadra sana sayansi kutoa kiongozi bora.
 
Kila mtu anajua wataka ushahidi wa nini ngoja atoke madarakani kila kitu kitakuwa wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani itokee bahati uchaguzi ukawa huru na haki chama cha ccm kikang’oka kama Zambia, Ghana, Gambia, Kenya . Watambue kuwa viongozi wote wa awamu hii watakuwa jela kwa udhalimu na ufisadi wanaofanya sasa.
 
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.

Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu Lissu alipokuwa mwanaharakati na mtetezi wa madhila waliyokuwa wanapata wananchi katika migodi mbalimbali huko kanda ya ziwa na baadaye kuwa mbunge wa Singida.

Akiwa mbunge katika Bunge la Jamhuri amekuwa ni mchangiaji wa mara nyingi sana na muuliza maswali sana na kuomba kuhusu utaratibu na muongozo wa spika mara kwa mara kiasi cha kusababisha hata kutolwa nje na spika pale anapokataa kutii kiti cha spika.

Nakumbuka hata wakati wa Bunge la Katiba hapo ndipo Mhe Lissu alikuwa mkali kama mbogo kwa baadhi ya taratibu alipoona kama vile zina malengo fulani ambayo hayakuwa na faida kwa baadhi ya makundi.

Kwa ujumla ukimuangalia Mhe Lissu na jinsi anavyochangia mada au hoja na maneno anayotumia kwenye public kiukweli sidhani kama anaweza kuwa sahihi kuwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Kwa mtazamo wangu mimi kiukweli nidhamu ya Tundu Lissu katika kuchangia mada au hoja kwa wenzake huwa kuna dharau kubwa sana anaonyesha kiasi cha kutoheshimu michango ya wenzake na kama ndivyo alivyo basi kiti cha uraisi sidhani kama ni size yake.
Duh... Ningekuwa na mtoto Kama wewe ningekubadilisha nikapewa nguruwe mmoja na mchele kilo 5 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza bila wao na Bashite kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko ulaya na Marekani akiongea angekuwa yupo bungeni, kisababishi cha yote ni wao na inashangaza huko CCM badala wakae vikao wamjadili Bashite wamkanye kuacha mbinu za kishetani wamekalia kubariki mbinu zake na kumsaidia kujitetea.

Anguko la ccm litakuja kupitia bashite,atakujafanya kitu kitakachozua tafrani na ccm ikasambaratika vibaya.
 
Viongozi wazuri duniani wametoka fani za Sheria, uchumi, biashara, ni nadra sana sayansi kutoa kiongozi bora.
Kingereza cha sayansi huwa si kingereza kilichopo kwenye Maisha ya kawaida ndiyo maana hata jiwe hajui kingereza anachojua ni ubabe tu na kuogopa kwenda Ulaya kuwakwepa watu wa haki za binadamu ambao wanamsubiria kwa hamu atue huko wamfanyie maandamano makubwa Duniani.
 
Back
Top Bottom