Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Anguko la ccm litakuja kupitia bashite,atakujafanya kitu kitakachozua tafrani na ccm ikasambaratika vibaya.
Ni kweli 2020 watapata taabu sana ingawa ni mabingwa wa uchakachuaji
 
Duh... Ningekuwa na mtoto Kama wewe ningekubadilisha nikapewa nguruwe mmoja na mchele kilo 5 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
punguza hasira ....boss wako anadharau sana na kuwakejeli wenzake kitu ambacho kama kiongozi hakifai.....tumeona kwa Mandela pamoja na mateso yote yale gerezani miaka 27 lakini aliporudi hakuwa na madharau kwa weupe zaidi tu kuonyesha msimamo wake
 
Akiwa rais huyu jamaa atakuwa zaidi ya dikteta na ataishiwa kuwafyeka ndani watu.... Ataingilia mamlaka nyingine hadi mtakuja mshangae. M.. Yeye anajiona anajua yaani kwamba hoja zake ni sahihi asilimia zote anasahau kuna magwiji washeria tena maprofesa!!!

Unaweza ukawa msomi ila lugha kwa mtu mstaarabu atakubaliana na mie jinsi lugha ilivyona nguvu kwenye kila nyanja... Huyu anapayuka payuka tu hana hoja ila ubishi na kiburi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingereza cha sayansi huwa si kingereza kilichopo kwenye Maisha ya kawaida ndiyo maana hata jiwe hajui kingereza anachojua ni ubabe tu na kuogopa kwenda Ulaya kuwakwepa watu wa haki za binadamu ambao wanamsubiria kwa hamu atue huko wamfanyie maandamano makubwa Duniani.
Toa ushuzi wako hapa

Sasa subirini kama huyu mashavu wenu atashika urais!!!

CCM unacheza na taasisi?? CCM siyo kundi la mafisadi na madikteta kama kina mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
punguza hasira ....boss wako anadharau sana na kuwakejeli wenzake kitu ambacho kama kiongozi hakifai.....tumeona kwa Mandela pamoja na mateso yote yale gerezani miaka 27 lakini aliporudi hakuwa na madharau kwa weupe zaidi tu kuonyesha msimamo wake
Hebu tulia.Hivi aliyesema;
-Mimi(CCM)haikuleta tetemeko
-hela za rambirambi zijenge miundombinu
-watu wa Kagera wanakazana mto Ngono
Hayo ni kwa uchache.Aliyatamka nani?Hizo siyo dharau na kejeli?
 
Viongozi wazuri duniani wametoka fani za Sheria, uchumi, biashara, ni nadra sana sayansi kutoa kiongozi bora.
pamoja na hayo lakini kitu kinachonikera kwa huyo boss wako mwanasheria ni dharau na kebehi....ameulizwa swali hilo na BBC na pia na VOA kuhusu mazuri ya serikali ya wamu ya tano yeye anajibu kwa kebehi na dharau halafu ndo mnataka awe Rais mtu ambaye hathamini hata michango chanya ya saerikali iliyopo madarakani.sisi hatujakataa kupingwa wala kukosolewa lakini ndo hakuna cha maana hata kimoja kizuri kilichofanyika....watangazaji wa BBC na VOA walikuwa wanashangaa tu kwa majibu ya swali hilo.
 
Magufuli aliandaliwa????!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kumlaumu ni kikwete kulazimisha membe awe Rais huku akimhujumu Lowasa ndipo kwa hasira timu lowasa wakaamua kumpigia magufuli kura nyingi na jina lake kupitishwa kuwa mgombea wa CCM, kwenye kampeni kote alikuwa mnyenyekevu lakini ghafra alipoingia ikulu akamteua Bashite kuwa mshauri wake mkuu hapo ndipo akaanza udikteta kutokana na Bashite kuingiza fursa zake chuki zake binafsi na kusahau katiba na sheria za Nchi.
 
Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achakukariri Dunia inabadilia na nenda na wakati kua mbunifu tumia akiliza zaid ya nguvu tunafanya siasa za digital nyiendelea na sisasa zenu za maji taka
 
Back
Top Bottom