My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Nyie mlimwandaa lini Magufuli ili awe Rais? Mtifuano wa Dodoma ndo ukaibua virus inayoua TanzaniaTatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wasingekubali upate faida hivyo.Sanasana wangekupa debe moja la komoni.Duh... Ningekuwa na mtoto Kama wewe ningekubadilisha nikapewa nguruwe mmoja na mchele kilo 5 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli aliandaliwa????!!!Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli 2020 watapata taabu sana ingawa ni mabingwa wa uchakachuajiAnguko la ccm litakuja kupitia bashite,atakujafanya kitu kitakachozua tafrani na ccm ikasambaratika vibaya.
Nahisi hata ningeambulia konyagi moja ya Buku tatuMkuu watu wasingekubali upate faida hivyo.Sanasana wangekupa debe moja la komoni.
punguza hasira ....boss wako anadharau sana na kuwakejeli wenzake kitu ambacho kama kiongozi hakifai.....tumeona kwa Mandela pamoja na mateso yote yale gerezani miaka 27 lakini aliporudi hakuwa na madharau kwa weupe zaidi tu kuonyesha msimamo wakeDuh... Ningekuwa na mtoto Kama wewe ningekubadilisha nikapewa nguruwe mmoja na mchele kilo 5 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijitaja yeye mwenyewe.labda unitajie huyo jiwe ni nani
Toa ushuzi wako hapaKingereza cha sayansi huwa si kingereza kilichopo kwenye Maisha ya kawaida ndiyo maana hata jiwe hajui kingereza anachojua ni ubabe tu na kuogopa kwenda Ulaya kuwakwepa watu wa haki za binadamu ambao wanamsubiria kwa hamu atue huko wamfanyie maandamano makubwa Duniani.
Hebu tulia.Hivi aliyesema;punguza hasira ....boss wako anadharau sana na kuwakejeli wenzake kitu ambacho kama kiongozi hakifai.....tumeona kwa Mandela pamoja na mateso yote yale gerezani miaka 27 lakini aliporudi hakuwa na madharau kwa weupe zaidi tu kuonyesha msimamo wake
pamoja na hayo lakini kitu kinachonikera kwa huyo boss wako mwanasheria ni dharau na kebehi....ameulizwa swali hilo na BBC na pia na VOA kuhusu mazuri ya serikali ya wamu ya tano yeye anajibu kwa kebehi na dharau halafu ndo mnataka awe Rais mtu ambaye hathamini hata michango chanya ya saerikali iliyopo madarakani.sisi hatujakataa kupingwa wala kukosolewa lakini ndo hakuna cha maana hata kimoja kizuri kilichofanyika....watangazaji wa BBC na VOA walikuwa wanashangaa tu kwa majibu ya swali hilo.Viongozi wazuri duniani wametoka fani za Sheria, uchumi, biashara, ni nadra sana sayansi kutoa kiongozi bora.
Kwani jiwe aliandaliwa?Tatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kumlaumu ni kikwete kulazimisha membe awe Rais huku akimhujumu Lowasa ndipo kwa hasira timu lowasa wakaamua kumpigia magufuli kura nyingi na jina lake kupitishwa kuwa mgombea wa CCM, kwenye kampeni kote alikuwa mnyenyekevu lakini ghafra alipoingia ikulu akamteua Bashite kuwa mshauri wake mkuu hapo ndipo akaanza udikteta kutokana na Bashite kuingiza fursa zake chuki zake binafsi na kusahau katiba na sheria za Nchi.
Tazama sasa.Weye mwenyewe umeandika kwa jazba,dharau na matusi halafu unatetea uozo.Toa ushuzi wako hapa
Sasa subirini kama huyu mashavu wenu atashika urais!!!
CCM unacheza na taasisi?? CCM siyo kundi la mafisadi na madikteta kama kina mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ili uwe Rais lazima ujue mbinu zote za uchakachuaji ufisadi na kukandamiza demokrasia
Achakukariri Dunia inabadilia na nenda na wakati kua mbunifu tumia akiliza zaid ya nguvu tunafanya siasa za digital nyiendelea na sisasa zenu za maji takaTatizo upinzani wa Tz unatuzingua kwa sababu huwa hawamuandai mgombea wa raisi badala yake huwa wanamuandaa siku hiyo hiyo ya uchaguzi hapo ndo napowaona wanapwaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejibu kwa dharau kama alivyojibu yeye!!!!Tazama sasa.Weye mwenyewe umeandika kwa jazba,dharau na matusi halafu unatetea uozo.