PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu, wewe ni mtu bingwa sana na unaonekana unahofu ya Mungu. Dhamiri yako ipo hai sana.

Bahati mbaya sana kuna ka pepo kalitaka kupita na wewe 🀣. Naona sala zako zimekurejeshea uhai wa kimungu.
 
Kadri wanavyoendelea kumuweka gerezani ndivyo thamani yake inavyozidi kupanda.

Itafika muda atakuwa ndiyo the only person wananchi wanamtaka kwenye kiti cha U-Rais.

Hivyo kuendelea kumshikilia kuna maana kubwa.

Lisu ni mpiganaji mzuri wa kile anachokiamini na haki lakini kwenye suala la kuwa kiongozi namba moja ni ngumu Sana hata pakiwepo free and fair election
 
Hili mimi nililigundua kitambo sana huyo jamaa ni mnafiki na muongo kiwango cha juu sana
Huyu mwanetu hafai aisee πŸ˜€ embu tazama risiti zake hapa

 
Nchi ambayo sheria hazifanyi kazi Bali amri ya mtu mmoja ni hatari Kwa usalama wa Taifa.
 
Mkuu, wewe ni mtu bingwa sana na unaonekana unahofu ya Mungu. Dhamiri yako ipo hai sana.

Bahati mbaya sana kuna ka pepo kalitaka kupita na wewe 🀣. Naona sala zako zimekurejeshea uhai wa kimungu.

Mkuu ni vile huwezi kuzungumza Kila kitu
 
Oyaa
 
Mambo yalishaparanganyikana
 
Punguza mahaba kwa CCM na serikali uache mda uonge soma arama za nyakati la sivyo utaumbuka bro,
 

Nipo kwenye uhalisia.
Maandamano ya 29 oct yalifeli vibaya na hayakuzidi masaa sita ukisema uyahesabu.
Pili malengo yote Makuu hayakufikiwa ndio maana yamepangwa ya D9.
Au huoni ujio wa D9 ni kufeli kwa MO29?

Kijana sio Kila mtu hutazama mambo kwa ushabiki.
 
Sasa kama haki huinua taifa kumaanisha unaipenda haki. Mbona unaitaka kuninyima haki Yangu ya kutoa mawazo Yangu?
Wengi wataka haki na demokrasia wana tabia za hovyo hawapendi Wala kuheshimu haki za wengine hata hapa Jf ukiandika hata kwa hekima maoni yako wasipopend wanakuja kukutukana ,kukushambulia wengine wakiomba mods wafute Uzi wako .

Kwenye mitandao mengine wanakupiga block kabisa.
 
KWeli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…