PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lissu anashtakiwa kwa makosa mazito, hakuwekwa pale kwa sababu anatumikia agenda hivo basi huezi kuambia serikali.kwamba mda flan ulikua sahihi kumuachia
 
Hakuna mtu ccm na serekali yake wanamwogopa kama Mh Tundu Antipas Lissu. Kwa hali ya kisiasa na kijamii ilivyo, Lissu hawawezi kumwachia kwa sasa. Akirudi uraiani, akapita taarifa mbalimbali za tangu campagne hadi uchaguzi, kisha akapitia matukio ya tarehe 29/10 mpaka kuapishwa kwa rais Samia, akapitia jinsi mchakato wa kuwapata wabunge wa viti maalumu ulivyooenda, wallah atachafua hali ya hewa tena.
Watawala wa ccm hawapo tayari kuona hili likitokea.
 
We nani kakwambia anaachiwa? Hakuna kuachiwa atakaa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…