johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweli Tundu Lissu ameshatia nia lakini kwa mujibu wa mjumbe wa CC, Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄