Pre GE2025 Tundu Lissu hataweza tena kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa sababu chama chake kimekiri hana uwezo!

Pre GE2025 Tundu Lissu hataweza tena kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa sababu chama chake kimekiri hana uwezo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinachombeba mbowe ni hizi sifa:-

SIFA ZAKE KUU NI:
1.Hekima
2.Busara
3.Uvumilivu
4.Sio mropokaji
5.Msikivu
6.Mtendaji
7.Mwalimu
8.Anayeunganisha
9.Muwezeshaji
10.Anayeibua Vipaji
11.Asiye na Visasi
Namba 11 tuanze na Zitto Kabwe na Chacha 🐼
 
Sio kweli. Huwezi kuwa na Urais pacha na Vyombo vya Dola vikajua halafu ukawa Kiongozi wa Chama Cha Siasa nchini au kugombea Ubunge. HAIWEZEKANI na TUSIDANGANYANE. Labda kwa watoto wao ingawaje ishu itakuja watakapotaka kuingia kwenye siasa za Tanzania.
Raia pacha wamekuwa hadi mawaziri wewe unasgangaa Sugu kuwa Mwenyekiti wa Kanda Chadema 😂😂😂😂
 
Ni kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa

Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache

Ahsanteni Sana

Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹

Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Walimteua kimakosa??
Ina maana wanakubali kwamba uchaguzi hakushinda?
Mbona walikuwa wanatusumbua kwamba CCM waliiba kura!
 
Kama ni kwa taarifa za JF sawa. Lakini kwa taarifa za Uhamiaji hakuna.
Endelea kukariri

Hao Wenyewe Uhamiaji wapo raia pacha wa kutosha tu 😂😀

Muwage mnasafiri muijue Dunia watu wanavyoishi katiba siyo msahafu
 
Mkuu hao watu Nikiri asilimiakubwa walikuwa sahihi isipokuwa kwa Magu, Magu despite his short backs was a President we needed.
Kwa AHM,JMK, na SSH.. they are right!
Marais Tuliowapata Bora
  • Julius Nyerere
  • Ben Mkapa
  • John Magufuli
In that Order
Lissu na JPM wanafaa sana kuiongoza Nchi hii hao wengine wote piga chini
 
Ikiwa ni kweli, wa Tanzania wote tupewe uraia pacha, hivi hivi watatukimbia hawa.
 
Ahahahahaha! JF bwana! Kila mtu tajiri na anasafiri sana kuliko mwenzake! Ahahahahaha!!!!
Kusafiri siyo utajiri ni kutafuta maarifa tu

Hela unayotumia Wewe Bar huku umezungukwa na Wadada wengine Hela hiyo hiyo ndio nauli ya kuzunguka duniani 😂😂😂

Ukiwa Counter unanunua tu Makaratasi ya Yeriko ukiamini ni Vitabu!😃
 
Back
Top Bottom