johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yes,Ni kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Karibu kwa Dr Nakir upate ilimu ya JesusNi kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Wewe tu ndio unaishi kizamani bila uraia pachaYes,
kibaraka ana uraia pacha kitu ambacho ni kinyumbe na sheria za nchi
Ilmu ya Alhad Salum inatosha sana 😄😄Ku
Karibu kwa Dr Nakir upate ilimu ya Jesus
Ni kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Wewe ni nani hadi uwasemee CDM!! Kafie mbele na CCM yenu.Ni kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
pumbavu zako 😀 😀 😀 😀 😀 .......ya ndani yaaachie wao ya jumla yanakaa kama yalivyo.........ana uwezo ....Ni kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
😂😂😂Wewe ni nani hadi uwasemee CDM!! Kafie mbele na CCM yenu.
ooh kumbe,Wewe tu ndio unaishi kizamani bila uraia pacha
Freeman na Sugu ni raia pacha kitambo sana 😂😂
Kwamba huyo yeriko ndio chama chake kimesema, akili zingine ni sawa na matopeNi kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Tundu Lisu anataka Kugombea Urais Tena wakati ,Uwenyekiti ameomba kugombea na Kuna Kila dalili anakosa uwenyekiti?Ni kweli Tundu Lisu ameshatia Nia lakini Kwa mujibu wa mjumbe wa CC Mh Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lisu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa mapema Kwa sababu NEC ilitaka kumkata 2020 lakini Shujaa Magufuli akasema wamwache
Ahsanteni Sana
Leo ni Dominica ya Mwisho 2024🌹
Kanisa Moja Takatifu La Mitume😄
Sisi tumeshamrekodi Mh Yeriko Nyerere 😂pumbavu zako 😀 😀 😀 😀 😀 .......ya ndani yaaachie wao ya jumla yanakaa kama yalivyo.........ana uwezo ....
Mamayenu anauza rasilimari wajinga mnashangilia mtakuja kuamka Mali zilishaishia uarabuni Kwa wajomba zake🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛Yes,
kibaraka ana uraia pacha kitu ambacho ni kinyumbe na sheria za nchi
Ikungi alikozaliwa TAL wanatushangaa kusema ,achaguliwe,kuwa Mwenyekiti wa chadema Taifa!CCM walimsema Magufuli kuwa hawezi kuwa Rais kuwa anapenda kuropoka sana na hawezi kuweka mambo kifuani………ata siku anachukua fomu pale Lumumba kuna watu walianza kumcheka eti “mpaka huyu nae anataka kuwa Rais,mbona anapoteza muda sana!??”
Jakaya wakati anataka kugombea Urais mwaka 1995,kuna baadhi ya watu ndani ya CCM walimchana wazi wazi kuwa hafai kuwa Rais maana uwezo huo hana ila baadae akawa Rais
Wakati Mwalimu anapendekeza jina la Mwinyi kugombea Urais,kuna wanasiasa ndani ya CCM tena wengi sana walikiri kuwa Mwinyi hapaswi kuwa Rais ila akawa Rais
Mama Samia Leo ni Rais lakini kuna kikundi kilikiri kuwa hawezi kuwa Rais coz hana utashi mkubwa wa kuongoza Nchi na ata mpaka hivi sasa kuna kundi kubwa sana toka CCM linakiri kuwa Bi’Mkubwa anazingua ila bado ni Rais
Mungu akiamua jambo hakuna wa kupinga,Kama mlishindwa kumuua TAL ndio Leo muweze kumzuia kuwa Rais!??? Haiwezekani kabisa
LISSU ni mpango wa MUNGU,atakayejaribu kupambana nae hasira za Mungu zipo juu yake
Ccm imejaa mapumbavu kama viongoz wao 🪛🪛🪛🪛🪛🪛Walitaka kumkata kwa kigezo hajaishi nchini kwa miezi kadhaa mfululizo ambalo ni takwa la kikatiba kwa mtu anayegombea nafasi ya Urais.
Hata hivyo hii nchi bado raia wake ni makapuku wa fikra, wacha CCM iendelee kutawala.