Tundu Lissu hawezi kujiangalia kwenye Kioo, anajikimbia!

Tundu Lissu hawezi kujiangalia kwenye Kioo, anajikimbia!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life…
 
Lissu sio evil bana.

Pia sio mbinafsi.

Ana moyo wa kusaidia watu ndio maana akawatetea wananchi wa buzwagi, nyamongo, na bulyankhulu, waliodhulumiwa kupisha makampuni makubwa ya madini.

Wengi wanaomsema vibaya lissu hawajawahi ku-deal naye at a personal level.

Wengine hawajawahi kushughulikiwa na mapolisi wa ccm na lissu akawa mtu pekee aliyeko tayari kuwatetea.

NB: Tatizo lake he is sometimes too confident, and strong headed, mahali ambapo anatakiwa kuwa strategic.
 
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
Amefanya mabaya yapi hadi uongee hivi
 
T
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …

Tundu Lissu atawaumiza Sana. Kitendo Cha yeye kuwa hai mpaka leo kinakuumiza Sana mpaka unatamani kujiua.
 
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
Kuna mtu kaliwa kimasihara na Lisu si bure.

Why all these hate?
 
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …

Lissu hajathiriwa na ujinga tuliopandikizwa watanzania kupitia zindiko la mwenge wa uhuru. Hivyo kwa vyovyote mlioathirika na ule ushirikina wa mwenge wa uhuru ni lazima mumuone Lisu ni wa tofauti.
 
Kuna siku Lissu alimkuta mahabusu ana pingu mahakamani, aliuliza askari kwanini huyu ana pingu na yuko mahakamani? Hawakuwa na jibu.

Alimuuliza kijana wakili wako ni nani alisema sina wakili. Alimwambia kuanzia leo mimi nitakua wakili wako. Kijana alishinda kesi bila kumlipa Lissu sent tano.
 
In real life i met him once

Kipindi hicho alikua na yale makesi yake kule Migodini.

Bado alikua mwanaharakati.

Alikua mtu tofauti sana na huyu wa sasa sijui nini kiliharibu ubongo wake.
 
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
Aliyejaribu kumuua Kafa yeye , sasa wewe jiandae
 
Kuna siku Lissu alimkuta mahabusu ana pingu mahakamani, aliuliza askari kwanini huyu ana pingu na yuko mahakamani? Hawakuwa na jibu. Alimuuliza kijana wakili wako ni nani alisema sina wakili. Alimwambia kuanzia leo mimi nitakua wakili wako. Kijana alishinda kesi bila kumlipa Lissu sent tano.
Mungu mbariki Tundu Lissu
 
..Lissu sio evil bana.

..pia sio mbinafsi.

..ana moyo wa kusaidia watu ndio maana akawatetea wananchi wa buzwagi, nyamongo, na bulyankhulu, waliodhulumiwa kupisha makampuni makubwa ya madini.

..wengi wanaomsema vibaya Lissu hawajawahi ku-deal naye at a personal level.

..wengine hawajawahi kushughulikiwa na mapolisi wa Ccm na Lissu akawa mtu pekee aliyeko tayari kuwatetea.

NB.

..tatizo lake he is sometimes too confident, and strong headed, mahali ambapo anatakiwa kuwa strategic
Yaani kuna watu wana chuki na lisu ila kila sehemu alizopita ameacha heshima yake bila lisu mambo mengi tusingejua juu ya mauji ya wachimbaji na dhuruma za makampuni makubwa
 
Mkuu tulia kwanza,mbona hoja hii imejaa chuki mno?,Mr.Lissu kakufanya nini?,mkuu kama kupigania haki yako nawe pigana, ukunguru wako usiufiche mgongoni mwa watu wengine, pigana zuzu wewe
 
Yaani kuna watu wana chuki na lisu ila kila sehemu alizopita ameacha heshima yake bila lisu mambo mengi tusingejua juu ya mauji ya wachimbaji na dhuruma za makampuni makubwa

Sasa nini baadaye kikafanya awe mzee wa miga!??

🤣 🤣 🤣
 
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.

Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
"...Yupo tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi...."

Itakuwa umemhua Lissu leo, nasema hivi mpaka sasa hatujapata mtu makini, intelligent na brilliant kama Lissu, na ili nchi zetu hizi za dunia ya tatu ziweze kuendelea zinahitaji walau 15% tu ya raia wawe kama Lissu, things will work in an unexplainable way, hakika nakwambia....
 
Back
Top Bottom