UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Huyu wa sasa hivi #dishlimetilt vibaya mno, yani amekuwa ni janga kwa kweli. Angekuwa na washauri wazuri wangemshauri akatulia na kupumzika.Alikua mtu tofauti sana na huyu wa sasa sijui nini kiliharibu ubongo wake.