Samia ni Dictator, Magufuli, Kinana, Bashiru, Ndugai -----++nkThis man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu, …
Amefanya mabaya yapi hadi uongee hiviThis man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
Kuna mtu kaliwa kimasihara na Lisu si bure.This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
Aliyejaribu kumuua Kafa yeye , sasa wewe jiandaeThis man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …
Mungu mbariki Tundu LissuKuna siku Lissu alimkuta mahabusu ana pingu mahakamani, aliuliza askari kwanini huyu ana pingu na yuko mahakamani? Hawakuwa na jibu. Alimuuliza kijana wakili wako ni nani alisema sina wakili. Alimwambia kuanzia leo mimi nitakua wakili wako. Kijana alishinda kesi bila kumlipa Lissu sent tano.
Yaani kuna watu wana chuki na lisu ila kila sehemu alizopita ameacha heshima yake bila lisu mambo mengi tusingejua juu ya mauji ya wachimbaji na dhuruma za makampuni makubwa..Lissu sio evil bana.
..pia sio mbinafsi.
..ana moyo wa kusaidia watu ndio maana akawatetea wananchi wa buzwagi, nyamongo, na bulyankhulu, waliodhulumiwa kupisha makampuni makubwa ya madini.
..wengi wanaomsema vibaya Lissu hawajawahi ku-deal naye at a personal level.
..wengine hawajawahi kushughulikiwa na mapolisi wa Ccm na Lissu akawa mtu pekee aliyeko tayari kuwatetea.
NB.
..tatizo lake he is sometimes too confident, and strong headed, mahali ambapo anatakiwa kuwa strategic
Kumpinga Magufuli role model wako ndio tatizo Kwako bila shaka.In real life i met him once
Kipindi hicho alikua na yale makesi yake kule Migodini.
Bado alikua mwanaharakati.
Alikua mtu tofauti sana na huyu wa sasa sijui nini kiliharibu ubongo wake.
Yaani kuna watu wana chuki na lisu ila kila sehemu alizopita ameacha heshima yake bila lisu mambo mengi tusingejua juu ya mauji ya wachimbaji na dhuruma za makampuni makubwa
"...Yupo tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi...."This man is pure evil, ni mtu mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life, …