Tundu Lissu hawezi kujiangalia kwenye Kioo, anajikimbia!

Alikua mtu tofauti sana na huyu wa sasa sijui nini kiliharibu ubongo wake.
Huyu wa sasa hivi #dishlimetilt vibaya mno, yani amekuwa ni janga kwa kweli. Angekuwa na washauri wazuri wangemshauri akatulia na kupumzika.
 
I hate him to the core
 
I once hated the guy for my own reasons ila nimekuja kugundua kuwa kichwa chake ni hazina kubwa kwa taifa letu. Mpaka sasa hatuna mtu hata mmoja anaetoa elimu ya uraia kama Lissu. Pia ni moja ya watch dog anaesababisha majambazi yasithubutu kutupeleka kusikojulikana .naamini asingekuwepo tungekuwa tunatafutana kwenye sayari ya mars
 
akili ndogo ndiyo maandishi yenu...
 
Vipi unavyomsemea na aliyemcharaza marisasi🤔
 
Wachaga kwa ujanjajanja [emoji40][emoji40]lissu ni bogazi
 
Kuna kulipwa kuzuri zaidi ya kuona mauti yememfika aliyetaka kukuua? Hata akifariki atakuwa na amani sana Bw. TL maana kashuhudia kifo cha mtesi wake.
 
Wale waliotaka kumuua ndio wazuri sio? Umefanana na hao watu!
 
Hujasema kitu. Ni nini hasa alichofanya TL kikakutibua?
 
Khaa, foolish kabisa wewe; unaamka tu unamuwaza Lissu? Nenda kaabudu kaburi huko Chato, mliyetaka afe yu hai
 
KWa Iyo Lissu ni shetani kuliko mashetani yaliyompiga lisasi, unatoa wapi ujasiri kumuita evil, WENDA ukalipwa ndani ya siku Chache zijazo, Lissu na Mungu wake anaemwabudu Wana connection ambayo mtu kama wewe ni ngum kuelewa, na lazima agono lile litimie, ndo maana unamuona Lissu yu hai mpaka mda huu, ni swala la mda tu na hakuna wa kuzuia,Sasa jichanganye kumnenea mabaya utajua hujui
 
Huwa nikimwangalia, simwelewi na nakuwa cautious sana naye. ni mtu mwenye hasira sana na kisasi kwa serikali hii. alipigwa risasi nyingi sana, zilimuumiza mno kuna baadhi ya aina ya maisha hawezi kuishi tena kama awali, kiufupi alifanywa kilema kwa namna fulani. mengi yamefichwa kwa heshima yake. mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kujiunga hata na adui ili kupambana na watu anaoamini wamemuumiza.

pia, kwa upande mwingine, dr slaa alisema wakiwa kwenye kikao alishawahi kutoa comment kwamba wafanye chochote hata kuingia mkataba na shetani alimradi tu washike dola.hapo ilikuwa kabla hajapigwa marisasi. huwa nikimwangalia simmalizi, naona kama ni mtu hatari sana.

above all, kupigwa kwake risasi ni kitu ambacho sijawahi kukubaliana nayo hadi leo, huwa kinaniuma kuona biniadamu mwenzangu yalimfika yale. nilimsikia pia alipohojiwa aliposema kuwa, ALIPOPIGWA RISASI NA KUUGUZWA HADI KUPONA, ALIPATA MAUMIVU MAKALI SANA AMBAYO HATAKI MTU YEYOTE AYAPATE MAISHANI MWAKE, HATA WALE WALIOMPIGA ANAOMBA MUNGU WASIPITIE MAUMIVU YALE ALIYOYAPITIA.
 
Kuna mtesi wa Lisu Yuko Jehanum ya Moto na yy ndiye kuni ,
Mungu kaamua ugomvi....
 
Acha upumbafu wee mm Ni ccm pure ila cwez kuwa na kauli mbay dhid ya lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…