johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Muulize mgodi wa Kabanga walipewa watanzania kipindi chake?Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Japokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Nina hamu ya kusikia hiyo clip, hebu idondoshe mkuu!Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Muulize mgodi wa Kabanga walipewa watanzania kipindi chake?
17 mach 2021, Tanzania ilipoteza kiongozi shupavu mpenda nchi na mlinda rasilimali za nchi kwa akili na kwa nguvu zote!
mfia nchi ✓mpenda nchi ×
Subiri hapo hapo kama Una nguvu. Wakikuacha salama shukuru Mungu.Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Siamini hadi nimsikilizeMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Uzuri wa Lissu si Mnafiki. Alipopigwa risasi alimtaja hadharani Magufuli, na kuhusu mazuri yake si mara ya Kwanza anayasema.Shikamoo siasa
Japokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.
Ni kweli pia kwamba JPM alikuwa na mabaya yake lakini kuhusu kuingia mikataba mibovu ya kuuza nchi kwa wageni si miongoni mwa mabaya yake.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Dini Yao inawafanya wawaone waarabu kama miungu watu kwao kuwa karibu na mwarabu ni kuwa karibu na mungu hawa watu hovyo kabisaMarais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.