Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni maneno matupu na hayapo kwenye mkataba!! Kesho anaweza kusema kingine!! Aliwahi kusema Rais Magufuli yuko ikulu akiendelea na kazi, kumbe ni mahututi au keshafariki tayari!!Waziri mkuu alitolea ufafanuzi juzi hapa kuwa muda wa mkataba atapewa kama mwekezaji alie maliza muda wake
Lakin utake usitake mkata ushapitaHayo ni maneno matupu na hayapo kwenye mkataba!! Kesho anaweza kusema kingine!! Aliwahi kusema Rais Magufuli yuko ikulu akiendelea na kazi, kumbe ni mahututi au keshafariki tayari!!
Tulilipwa 300ml usd ,kikwete aliaziacha hizo hapa bongo akapanda ndege kwenda kukopa nusu ya huzi helaMakinikia yaliishia wapi?
very good, na mwendazake akawa anamtazama tu?Tulilipwa 300ml usd ,kikwete aliaziacha hizo hapa bongo akapanda ndege kwenda kukopa nusu ya huzi hela
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Hii imekuja ghafla sana, wafuasi wa ni yeye hakutuandaa kabisa[emoji3][emoji3]