Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Waziri mkuu alitolea ufafanuzi juzi hapa kuwa muda wa mkataba atapewa kama mwekezaji alie maliza muda wake
Hayo ni maneno matupu na hayapo kwenye mkataba!! Kesho anaweza kusema kingine!! Aliwahi kusema Rais Magufuli yuko ikulu akiendelea na kazi, kumbe ni mahututi au keshafariki tayari!!
 
Hayo ni maneno matupu na hayapo kwenye mkataba!! Kesho anaweza kusema kingine!! Aliwahi kusema Rais Magufuli yuko ikulu akiendelea na kazi, kumbe ni mahututi au keshafariki tayari!!
Lakin utake usitake mkata ushapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…