Uzuri wa Lissu si Mnafiki. Alipopigwa risasi alimtaja hadharani Magufuli, na kuhusu mazuri yake si mara ya Kwanza anayasema.
Umenena vyemaDini Yao inawafanya wawaone waarabu kama miungu watu kwao kuwa karibu na mwarabu ni kuwa karibu na mungu hawa watu hovyo kabisa
Bora Waganda mara 1000 na sio waarabu..bomba la mafuta Hoima-Tanga Waganda hawatalipia kodi mafuta yanayosafirishwa.
..huo ni mkataba mbovu alioingia Magufuli.
Nonsense...Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
😭😭😭17 mach 2021, Tanzania ilipoteza kiongozi shupavu mpenda nchi na mlinda rasilimali za nchi kwa akili na kwa nguvu zote!
Usisahau samia na majaliwa Kassim walidanganya watanzania kuwa rais yupo mzima kabisa. Kwanini walificha na kusema uongo?17 mach 2021, Tanzania ilipoteza kiongozi shupavu mpenda nchi na mlinda rasilimali za nchi kwa akili na kwa nguvu zote!
🪓🪓🪓Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
My all time President😍💪
Acha ujinga mkuu, wewe ni mtu maarufu sana hapa!..bomba la mafuta Hoima-Tanga Waganda hawatalipia kodi mafuta yanayosafirishwa.
..huo ni mkataba mbovu alioingia Magufuli.
Endelea kulia lia na Cheti chako!..bomba la mafuta Hoima-Tanga Waganda hawatalipia kodi mafuta yanayosafirishwa.
..huo ni mkataba mbovu alioingia Magufuli.
Leo umeongea ukweli [emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Japokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.
Ni kweli pia kwamba JPM alikuwa na mabaya yake lakini kuhusu kuingia mikataba mibovu ya kuuza nchi kwa wageni si miongoni mwa mabaya yake.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hiyo ni kweli marais wote wakirito ni wasafi sanaaaaa hongera jipigie makofiMarais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Ati wewe ni mjinga wa kiwango gani?..Magufuli alisaini mkataba kusamehe usd 191 billion na kukubali kishika uchumba cha usd 300 million.
..mkataba kati ya Magufuli na Barrick ulikuwa mbaya na kutukandamiza Watanganyika.
Acha ujinga mkuu, wewe ni mtu maarufu sana hapa!
Ungana na watanzania kupinga mikataba ya hovyo
Bila kujali Lisu amesema nini, ww ni mzuri kwenye kubadili mantiki ya kinachosemwa.Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Lini nimewahi kuongea uongo hapa Jf????Leo umeongea ukweli [emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
ovyoo mamaaakoDini Yao inawafanya wawaone waarabu kama miungu watu kwao kuwa karibu na mwarabu ni kuwa karibu na mungu hawa watu hovyo kabisa
Ujinga ni kuendelea kuona watanzania wa mika 10 iliyopita, bado ni walewale na wako vilevile..ujinga ni kupinga mikataba ya hovyo ya Samia, huku ukifumbia macho ya wengine.