Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Huu ndio mtazamo wa watz wengi ambao si waislam.

Mwanzoni nilidhali wale tu ambao hawakuwaji kuonana au kuishi na jamii mchanganyiko zaidi ya wale wa kabila lake, na walikuja kuona misikiti na waislam walipokuja dar kwa mara ya kwanza.

Lkn kwa tamko la mbowe linaonyesha hii ni sehemu ya itikadi wa ndugu zetu hawa wa mkono wa kushoto
 
Mnajaribu sana kuharibu ajenda wananchi wanaisadia serikali kurekebisha makosa hakuna mshindi katika hili.mikataba mibovu ndiyo husababisha vita vya ndani pale yanayosemwa yasipotimia..

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 

Tundu Lissu leo anamwita JPM shujaa, basi shetani anaweza kuwa malaika tena.
 
Pamoja na mabaya yake mengi aliyo kua nayo, lakini ile kauli yake "mta nikumbuka kwa mazuri" hatimae imetimia, Kila siku hawa watawala Wana zidi kutusogeza shimoni siku sio nyingi tutazama kama meli ya Titanic.
 
.....Tanga na bomba la mafuta ktk Uganda ? …...
Duh "wazung"u wabaya kweli!!! Kumbe wanataka kuua ndege Wawili kwa jiwe moja!!!! Wanaua ushindani wa soko la mafuta na usafirishaji kwa pamoja!!! Umenishtua Aisee! Hivi tunaweza kupata orodha ya wanahisa wa hii kampuni?
====
Kuna msemo nilipata nadhani humu ama kwingine, kuwa andika chochote mtandaoni kama utakwenda kujitetea kuhusu ulichoandika mtandaoni Mahakamani!!! Kizuri gawana na wenzako.
 
😂😂😂😂😂 Uzuri alikuwa akiongea na Waandishi wa Habari
Sikatai, lakini ww hushindwi kupotosha. Maana akiongea hivyo lazima kuna namna imemfanya afikie hitimisho hilo. Sasa ww huchomoa mistari miwili, kisha kuitengeneza ili ibebe matamanio yako.
 
Sikatai, lakini ww hushindwi kupotosha. Maana akiongea hivyo lazima kuna namna imemfanya afikie hitimisho hilo. Sasa ww huchomoa mistari miwili, kisha kuitengeneza ili ibebe matamanio yako.
😀😀
 
Sasa hapo Cha ajabu Kiko wapi maana hiyo ni sifa ya Wajamaa ndio maana Hali ya uchumi ilikuwa ngumu sana wakati wake..
 

Ongeza na wakristo wazee wakuu watu hawana huruma na kima
 
Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.

Lk19:40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…