Kasanzu The Great
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 310
- 223
Order ya Lisu kupigwa risasi alitowa nani?Mbona wwe hajakuwa!!?? Au unaishi sana kwa hearsay!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Usimlishe maneno TAL kuhusu JPM juu ya uuzwaji wa bandari.Lissu anataka kusema JPM alikuwa genius lkn anaogopa
AmeshakubaliNinafuraha kusikia kuwa Lissu kumbe anakiri kwamba Magufuli alikuwa Mzalendo na angekuwepo asingekubali ujinga huu
Hii ndio siri iliyojificha kwa wapinga huu mkataba wa bandari....swala wala sio uzalendo hapa....suala kwann wamepewa Waarabu.....Ile kampuni yenu ya ubia ya Twiga mining ya ubia Iko wapi siku hizi....hamsemi hapo...Dini Yao inawafanya wawaone waarabu kama miungu watu kwao kuwa karibu na mwarabu ni kuwa karibu na mungu hawa watu hovyo kabisa
Hayo ya kwako we mzushi usimlishe maneno TLAMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
HayaHayo ya kwako we mzushi usimlishe maneno TLA
Bila Ukatili utalindaje rasilimali zako?Dikteta kwenye kulinga rasilimali za nchi alikuwa vizuri, tatizo lakini ilikuwa ni ukatili kwa wananchi
Jinga wewe, pale UWT nani mkali?Bila Ukatili utalindaje rasilimali zako?
Hata wewe bila Ukatili ungeolewa na Kamati Kuu yote ya Ufipa st πππ
Una ushahidi!!?Order ya Lisu kupigwa risasi alitowa nani?
Tundulisuu aache unafikiiii asikere watanzaniaaaa. Wakati hayati anapambania Mali za nchi huyo lisu wenu alionesha ushirikiano upiiiiiMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Angeonyeshaje Ushirikiano na zile Risasi!!!Tundulisuu aache unafikiiii asikere watanzaniaaaa. Wakati hayati anapambania Mali za nchi huyo lisu wenu alionesha ushirikiano upiiiii
hiyo siri kubwa ya march 17 hakuna asiyejua,juzi nimeulizwa swali gumu sana na mtoto wa miaka 8 kuhusu kilichotokea march 17 akidai amesikia shuleni sasa akataka kujua kama ni kweli nikamwambia inasemekana hivyo AKALIA SANA tena kwa uchungu mkubwa nilistaajabu nikamtia moyo kwamba aache kulia Mungu atajibu kwa wakati wake.Jamaa hata Muungano alikuwa hautaki , thus why aliamua kureinforce Dodoma , kuna Siri kubwa Sana March 17.. haya mambo ya kuuza rasilimali wakat huu ambao kila nchi inajitahd kukumbatia ilicho nacho ni hovyo Sana
Na aliwezaje kusafiri bara Moja Hadi bara jingine, nchi Hadi nchi za ula kumunanga shujaaa wetu na risasi zile?Angeonyeshaje Ushirikiano na zile Risasi!!!