Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Sasa walipe kodi na mafuta yanachimbwa kwao una akili kweli ww..bomba la mafuta Hoima-Tanga Waganda hawatalipia kodi mafuta yanayosafirishwa.
..huo ni mkataba mbovu alioingia Magufuli.
😂😂😂Sasa walipe kodi na mafuta yanachimbwa kwao una akili kweli ww
Sitosahau furaha niloipata siku hiyo.17 mach 2021, Tanzania ilipoteza kiongozi shupavu mpenda nchi na mlinda rasilimali za nchi kwa akili zake zote na kwa nguvu zake zote!
Sijamwelewa hoja yake ni nini?Believe me, hakuna atakae zingatia huo ujinga ulio andika hapo.
kina mbowe wakiona hii picha wanatafutana
lisu akili zinamrudi japo kuna vitu kama hajaelewa badoCheap political points
Inategemea makubaliano yalikuwaje na upande mwingine. Kuna uwezekana kampuni husika haikuwa na uwezo huo wa USD 191 Billion hivyo wakafikia makubaliano mengine ikiwemo hisa ya 16% na kuunda Kampuni moja ya Twiga na Accacia ikafa kifo cha mende. Huoni faida hiyo iliyoptikana hapo!?..Magufuli na Kabudi walikuwa na choice mbili.
..usd 191 billion vs usd 300 million.
..wao wakachagua usd 300 million.
..wewe ungechagua nini?
Tumseme marehemu katika mambo mengine yote, lakini marehemu Magufuli, mtu yeyote ambaye ni mkweli huwezi kumsema vibaya kwenye mambo makubwa manne:Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Tumseme marehemu katika mambo mengine yote, lakini marehemu Magufuli, mtu yeyote ambaye ni mkweli huwezi kumsema vibaya kwenye mambo makubwa manne:
!) Rasilimali za nchi
Alipenda sana rasilimali za nchi zikamatwe na watanzania wenyewe na ziwanufaishe watanzania. Bahati mbaya ni uwezo mdogo wa watanzania kuzitumia na kuzivuna rasilimali zao.
2) Proud ya Nchi
Marehemu Magufuli ni mtu ambaye alijivunia sana utanzania wake, na alipenda sana tuwe na uwezo mkubwa kwenye kika kitu. Hamu yake hiyo lazima ilichangia wakati fulani hata kuvunja haki za watu alipoona aliyokuwa anayataka na kuyategemea hayafikiwi.
3) Nidhamu
Rais Magufuli alipenda sana Taifa lenye nidhamu ya hali ya juu, inayokaribia nidhamu ya jeshi, siyo kila mtu kufanya anavyotaka. Na aliyeenda kinyume cha matakwa yake, kuna wakati alitendewa hata kinyume cha katiba au misingi ya haki.
Magufuli aliukataa ule mkataba wa Wachina wa bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa una unafuu sana ukilinganisha na huu mkataba wa hovyo wa DP, halafu useme eti huu mkataba ni mwendelezo wa matakwa ya marehemu Magufuli!! Hakuna mwenye akili timamu atalikubali hilo.
Marehemu alikuwa na mapungufu yake , zaidi ni kwenye masuala ya kukanyaga demokrasia na kutokubali kukosolewa. Haya ndiyo yalikuwa matatizo yake makubwa, siyo kuikubali mikataba ya ajabu ajabu.
Hujui huu mkataba. Bora unyamaze.
Soma: Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40
Sasa walipe kodi na mafuta yanachimbwa kwao una akili kweli ww
anajitoa ufahamu tulisu akili zinamrudi japo kuna vitu kama hajaelewa bado
Haogopi, JPM and Lissu kuna kitu hapo anajua Mungu tu.Lissu anataka kusema JPM alikuwa genius lkn anaogopa
May be he's on the other side of the coin...
Ndio alitaka kuyaondoa maisha yake....wote tunafahamu....
Lakini Huwa inafikia kipindi....hata yule mbaya wako....
Unamkumbuka kwa zuri Moja tu ambalo huacha alama isiyofutika wala kupingika...
Mazuri huacha alama mahsusi...mabaya huacha makovu na mawaa!
By the way yuko sahihi...
Naamini hii ni kutoka deepest part... ndani ya moyo....!
Baada ya kuguswa na haya mazigaombwe yanayoendelea Tanganyika.
Uko sahihi mkuuJapokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.
Aidha, Ni kweli pia kwamba JPM alikuwa na mabaya yake lakini kuhusu kuingia mikataba mibovu ya kuuza nchi kwa wageni si miongoni mwa mabaya yake.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Inategemea makubaliano yalikuwaje na upande mwingine. Kuna uwezekana kampuni husika haikuwa na uwezo huo wa USD 191 Billion hivyo wakafikia makubaliano mengine ikiwemo hisa ya 16% na kuunda Kampuni moja ya Twiga na Accacia ikafa kifo cha mende. Huoni faida hiyo iliyoptikana hapo!?