Jamaa anang'aaaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, akiwa katika Chumba cha Mahakama kabla ya kesi kuanza leo Agosti 26, 2026, amesikika akimwambia Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, aongeze moto wa kazi
Hii ni kama ukifungia samaki ziwani Kwa kusema unamkomoaJamaa anang'aaa
Ananenepa tu
Ana amani hata kuliko waliopo madarakani
Samia nadhani ni akili hazimtoshi
Hiyo kauli ya kuwapelekea moto Huwa nzuri sana.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, akiwa katika Chumba cha Mahakama kabla ya kesi kuanza leo Agosti 26, 2026, amesikika akimwambia Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, aongeze moto wa kazi