SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hii counter attack ya Lissu imewavuruga sana hawa nyumbu wa Sultan Mbowe walijua kumletea Wenje angesusa .Umelewa Mbege? π
Lisu ameshapumzika Nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Chama, Ubunge na Makamu mwenyekiti wa Chadema
Sasa kampandia Mwamba huko huko Kwenye Alfa na Omega ππ
Wewe ni taahira kabisa ndiyo maana umekubali kuwa nyumbu wa Sultan Mbowe.Lissu ni punguani.
Hakuondolewa bali hakugombea nafasi ya chama baada ya kuondolewa kwenye urais. Shida mnafananisha scenario mbili tofauti.Aliondolewa kwenye Chama automatically ila yeye mwenyewe alishakuwa hana kumbukumbu tena πΌ
Ujinga walioifanya akina Ntobi na Yeriko Nyerere kumvua nguo Mbowe Kijasusi zaidi ndio umeiua kabisa Chadema
Hata mwendawazimu hawezi kuiamini Chadema ya Mbowe π
Ni kweli. Sasa hivi haina mvuto tenaMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono π
Ni kweli. Sasa hivi haina mvuto tena
Kuna kaukweliMakamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono π
Lisu siyo punguwani, wanaharakati malipo yao wanapokea kutoka kwa mabeberu.Lissu ni punguani.
Kwa mtu mwenye akili timamu ukimsikiliza Lisu ni Magufuli mtupu ingawa mwenzake alikuwa na kautulivu kidogo na kujifanya anamuweka Mungu mbele.CDM itapotea kabisa kuwa na mtu kama huyo - wajumbe malizeni kazi mapema mkinusuru chama chenu kutekwa na watu wa ajabu ajabu.
Jamaa anatuaminisha watanzania kwamba CDM haipendwi na haiaminiwi tena na wamanchi na Tanzania.
Huyu jamaa hana nia njema na chama chenu.
Kwa hiyo Chadema haikuibiwa uchaguzi uliopita bali watu walikikataa kwa sababu wamemchoka Mbowe?Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono π
Inawezekana kabisa kuwa Lissu atashinda uchaguzi na hivyo kuwa Mwenyekiti ajae wa Chadema. Lakini kusema kuwa baada ya uchaguzi CDM itakuwa moja ni kujidanganya. Hata kama Mbowe atapata kura 10 tu lakini kuna wengi watakuwa wamekwazika na jinsi alivyotendewa. Na patakuwa na kulipa visasi, hawata waacha watu kama Ntobi, Yericko salama. Watu hawatahama chama lakini watakaa pembeni.Lissu yupo sana Chadema na baada ya uchaguzi Chadema itakuwa moja na imara zaidi najua hamtaki lakini ndiyo hivyo Lissu Mwenyekiti ajaye.
Anaweza kushinda. Akishinda nchi italipuka kwa furaha. Shughuli itaanza baads ya hangover ya uchaguzi.Sasa wacha akose kura tukizike kabisa chama.
Kwani hawaujui moto wa Lissu? π€£ π€£Mbona maccm mna hofu sana na Lissu kuwa mwenyekiti wa chadema hadi mnamsadia Mbowe ambaye siku zote mlikuwa mnasema ni kinga'ang'anizi?
Na wakimuibia kura zake, watamkuta ACT kwenye kinyang'anyiro cha urais na atakomba wabunge wa kutosha.Anaweza kushinda. Akishinda nchi italipuka kwa furaha. Shughuli itaanza baads ya hangover ya uchaguzi.
Amandla...
Lisu siyo punguwani, wanaharakati malipo yao wanapokea kutoka kwa mabeberu.
Wanaharakati nchi ikipowa hawana raha na wala hawawezi kupokea fund yoyote.
Lisu ana hamu ya damu za Watanzania, ukitaka siasa radical na serikali inakuwa radical pia.
Pale Msumbiji yule anayepinga matokeo amekimbia nchi uku amewaacha vijana wajitowe sadaka damu yao, nadhani hiki ndicho kosa kubwa la Mbowe hataki kuwatowa Watanzania sadaka ya damu.
Ukiwa umemsikiliza Lisu vizuri anataka siasa za nginjanginja ambazo kwa Africa unakwenda kuuwa watu wasionufaika na chochote kwa maslahi ya watu wachache.
Akienda ndivyo sivyo kwa nini asinangwe?Hakuna ukombozi kupitia wanaharakati. Leo wanaimba Lisu ila baada ya uchaguzi wataanza kumnanga kama Mwabukusi