Lisu siyo punguwani, wanaharakati malipo yao wanapokea kutoka kwa mabeberu.
Wanaharakati nchi ikipowa hawana raha na wala hawawezi kupokea fund yoyote.
Lisu ana hamu ya damu za Watanzania, ukitaka siasa radical na serikali inakuwa radical pia.
Pale Msumbiji yule anayepinga matokeo amekimbia nchi uku amewaacha vijana wajitowe sadaka damu yao, nadhani hiki ndicho kosa kubwa la Mbowe hataki kuwatowa Watanzania sadaka ya damu.
Ukiwa umemsikiliza Lisu vizuri anataka siasa za nginjanginja ambazo kwa Africa unakwenda kuuwa watu wasionufaika na chochote kwa maslahi ya watu wachache.