Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili CHADEMA iaminike, ipendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni lazima ipate Nahodha Mpya, kwa sasa haiaminiki na Jamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mtu mwenye akili timamu ukimsikiliza Lisu ni Magufuli mtupu ingawa mwenzake alikuwa na kautulivu kidogo na kujifanya anamuweka Mungu mbele.

Mimi mtu yeyote anayejiona yeye ndio muarobaini wa kila jambo au jambo huwa namuona ni mpuuzi tu.

Lisu hana sifa za kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa hana uwezo wa kuunganisha zaidi ya kujaza chuki tu na yakimzidi atakimbilia kwa Amsterdam ulaya.
Shida ya magu alikuwa hafuati Sheria na katiba, uzuri wa lissu ni Sheria na katiba, lissu kinachombeba kwa umma ni uwazi, uadilifu na uwajibikaji wa dhati.
 
Nimeipenda hii staili ya LISSU, aliye juu akikuzingua mfate hukohuko🤗🤗🤗

LISSU kapiga bakuli la mboga teke🤣🤣🤣🤣🤣 kama mbwai naiwe mbwai ubaya ubwelaaa,Singida hawatoki maboya💪

Kama umezoea kuwaonea wanyonge safari hii KIGINGI cha mpingo kimepatikana, ni humu tu😄😄😄

Lissu anapigana hii vita mithili ya Russia anavyotoa dozi kwa Ukraine yaani hastehaste🤗 anawakanda wapinzani wake mixer mashambulizi ya kustukiza hana haraka hana papara,mdomdo mpaka kieleweke😎

#RIP CHADEMA!!!
 
Hapa RIP haipo kama lissu akichaguliwa uwenyekiti, mchakamchaka utakao pigwa nchi nzima hatari
 
Na wakimuibia kura zake, watamkuta ACT kwenye kinyang'anyiro cha urais na atakomba wabunge wa kutosha.
Hataibiwa. Lakini ana haki ya kuhamia chama chochote akiona hapati anachotaka Chadema. Mbona alihamia CDM kutoka NCCR Mageuzi? Ila akihama CDM halafu akashiriki uchaguzi kabla ya kupatikana kwa Katiba Mpya atakuwa mnafik.

Amandla...
 
Lissu hahami chadema, hama wewe
 
..hata ccm Kuna watu wanampigia chapuo mbowe awe mwenyekiti chadema mifano ipo, kina manara, musiba nk
Unadhani hao wanafanya hivyo ili Mbowe ashinde? Hakuna mwanachama wa Chadema atampigia kura Mbowe kwa sababu Musiba kasema anastahili mitano mengine.

Amandla...
 
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.

Uleemuelewa lakini

CCM haitoki madarakani kwa sababu ya kuwa na sura mpya za mara kwa mara hasa kwenye Uenyekiti. Chadema isiposikiliza maoni ya wananchi 2025 ACT itakua chama kikuu cha upinzani.

Katiba ya Chadema ina mapungufu makubwa sana. Haiwezekani Mwenyekiti anayegombea bado yupo madarakani . Huu ni udhaifu mkubwa sana . Na ujinga zaidi ataitisha kikao siku mbili kabla ya uchaguzi kwa Mujibu wa Katiba.

Umemtaja Komredi Mwabukusi bila kuangalia kuwa Mwabukusi ameisadia sana serikali na wananchi katika msuala ya kuzingatia sheria .

Mbowe ataua chama kwa tamaa yake kama Fisi wa Porini.
 
Itapendeza ACT ikiwa chama kikuu cha upibzani kwa sasabu ya TAL kukosa uenyekiti.
 
Mbona unepaniki? Relax dogo. Usultani utakomeshwa soon na dunia itajifunza demokrasia kwa vitendo kupitia cdm
Wafuasi wanaharakati wa TAL ndio wanaoaniki, hawataki demokrasia ichukue nafasi yake.
 
Back
Top Bottom