LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Shida ya magu alikuwa hafuati Sheria na katiba, uzuri wa lissu ni Sheria na katiba, lissu kinachombeba kwa umma ni uwazi, uadilifu na uwajibikaji wa dhati.Kwa mtu mwenye akili timamu ukimsikiliza Lisu ni Magufuli mtupu ingawa mwenzake alikuwa na kautulivu kidogo na kujifanya anamuweka Mungu mbele.
Mimi mtu yeyote anayejiona yeye ndio muarobaini wa kila jambo au jambo huwa namuona ni mpuuzi tu.
Lisu hana sifa za kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa hana uwezo wa kuunganisha zaidi ya kujaza chuki tu na yakimzidi atakimbilia kwa Amsterdam ulaya.