LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Shida ya magu alikuwa hafuati Sheria na katiba, uzuri wa lissu ni Sheria na katiba, lissu kinachombeba kwa umma ni uwazi, uadilifu na uwajibikaji wa dhati.Kwa mtu mwenye akili timamu ukimsikiliza Lisu ni Magufuli mtupu ingawa mwenzake alikuwa na kautulivu kidogo na kujifanya anamuweka Mungu mbele.
Mimi mtu yeyote anayejiona yeye ndio muarobaini wa kila jambo au jambo huwa namuona ni mpuuzi tu.
Lisu hana sifa za kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa hana uwezo wa kuunganisha zaidi ya kujaza chuki tu na yakimzidi atakimbilia kwa Amsterdam ulaya.
Tunawashukuru Sana wazazi waliomzaa lissu na Wana singida kiujumlaLissu ni kiumbe wa tofauti sana
..Hili ni jembe sio mchezo, wanachadema msiache hii dhahabu ipotee mtajutaa..Huyu hapa Tundu Lissu.
..mahojiano yake ni darasa la historia, siasa, na harakati.
..kitu kingine ni ucheshi, na mizaha, ya Tundu Lissu kwa wanaomhoji.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ExjdX8ZPBwQ
Hapa RIP haipo kama lissu akichaguliwa uwenyekiti, mchakamchaka utakao pigwa nchi nzima hatariNimeipenda hii staili ya LISSU, aliye juu akikuzingua mfate hukohuko🤗🤗🤗
LISSU kapiga bakuli la mboga teke🤣🤣🤣🤣🤣 kama mbwai naiwe mbwai ubaya ubwelaaa,Singida hawatoki maboya💪
Kama umezoea kuwaonea wanyonge safari hii KIGINGI cha mpingo kimepatikana, ni humu tu😄😄😄
Lissu anapigana hii vita mithili ya Russia anavyotoa dozi kwa Ukraine yaani hastehaste🤗 anawakanda wapinzani wake mixer mashambulizi ya kustukiza hana haraka hana papara,mdomdo mpaka kieleweke😎
#RIP CHADEMA!!!
Hataibiwa. Lakini ana haki ya kuhamia chama chochote akiona hapati anachotaka Chadema. Mbona alihamia CDM kutoka NCCR Mageuzi? Ila akihama CDM halafu akashiriki uchaguzi kabla ya kupatikana kwa Katiba Mpya atakuwa mnafik.Na wakimuibia kura zake, watamkuta ACT kwenye kinyang'anyiro cha urais na atakomba wabunge wa kutosha.
Ahahahahaha! Kama wewe unaogopa kuyataja hayo mazuri basi ujue hayapo. Ushanfahamu?Waulize wanasheria wanamjua lissu ndo maana wanamuunga mkono hata Nia yake ya kugombea uwenyekiti
Lissu hahami chadema, hama weweHataibiwa. Lakini ana haki ya kuhamia chama chochote akiona hapati anachotaka Chadema. Mbona alihamia CDM kutoka NCCR Mageuzi? Ila akihama CDM halafu akashiriki uchaguzi kabla ya kupatikana kwa Katiba Mpya atakuwa mnafik.
Amandla...
Unadhani hao wanafanya hivyo ili Mbowe ashinde? Hakuna mwanachama wa Chadema atampigia kura Mbowe kwa sababu Musiba kasema anastahili mitano mengine...hata ccm Kuna watu wanampigia chapuo mbowe awe mwenyekiti chadema mifano ipo, kina manara, musiba nk
Rafiki yake Msigwa nae amesema kuwa anaweza kuhama. Wewe unamjua Lissu kuliko Msigwa?Lissu hahami chadema, hama wewe
Kinyume chake geuza hayo majibu kwa lissuUnadhani hao wanafanya hivyo ili Mbowe ashinde? Hakuna mwanachama wa Chadema atampigia kura Mbowe kwa sababu Musiba kasema anastahili mitano mengine.
Amandla...
Wewe unanijua Mimi? Mkuu tusichukuliane poaRafiki yake Msigwa nae amesema kuwa anaweza kuhama. Wewe unamjua Lissu kuliko Msigwa?
Amandla...
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Umesema nini?Kinyume chake geuza hayo majibu kwa lissu
Swali ni " unamjua Lissu kuliko Msigwa". Kama unamjua kuliko Msigwa sema na nitakuamini. Hata ukisema wewe ni Lissu nitakuamini. Hamna haja ya vitisho.Wewe unanijua Mimi? Mkuu tusichukuliane poa
Itapendeza ACT ikiwa chama kikuu cha upibzani kwa sasabu ya TAL kukosa uenyekiti.Uleemuelewa lakini
CCM haitoki madarakani kwa sababu ya kuwa na sura mpya za mara kwa mara hasa kwenye Uenyekiti. Chadema isiposikiliza maoni ya wananchi 2025 ACT itakua chama kikuu cha upinzani.
Katiba ya Chadema ina mapungufu makubwa sana. Haiwezekani Mwenyekiti anayegombea bado yupo madarakani . Huu ni udhaifu mkubwa sana . Na ujinga zaidi ataitisha kikao siku mbili kabla ya uchaguzi kwa Mujibu wa Katiba.
Umemtaja Komredi Mwabukusi bila kuangalia kuwa Mwabukusi ameisadia sana serikali na wananchi katika msuala ya kuzingatia sheria .
Mbowe ataua chama kwa tamaa yake kama Fisi wa Porini.
Wafuasi wanaharakati wa TAL ndio wanaoaniki, hawataki demokrasia ichukue nafasi yake.Mbona unepaniki? Relax dogo. Usultani utakomeshwa soon na dunia itajifunza demokrasia kwa vitendo kupitia cdm
Umemuonea wapi kuwa sio one man show?Sasa unaongea upuuz gani. Huyo ayatollah si ndio one man show. Lissu hana u one man show
Wameahikwa akili hao. Yani wao wanaamini kiongozi mzuri ni yule anayefokafoka.Na hakuna mfuasi wa Lissu yupo tayari kusema Lissu alifanya kitu gani TLS kama Rais wake. Zaidi alikuwa white elephant ofisini!