Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili CHADEMA iaminike, ipendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni lazima ipate Nahodha Mpya, kwa sasa haiaminiki na Jamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi

Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya

Mlale Unono 😄
Kwa hiyo nahodha mpya ni yeye!
 
Basi waende huko inakoaminika.
Unakuwaje kiongozi kwa miaka 5 wakati unaona chama hakiaminiki. Si ujiondoe tu utunze heshima yako!
Mbowe ndiye kafanya Chama kisiaminike. Hivyo akipewa uwenyekiti anaenda kuzika mazima ile imani ndogo iliyopotea. Amekosea sana kuamua kugombea!
 
Umemuonea wapi kuwa sio one man show?
Kuna mambo sio mpaka uulize mwamgalie mtu alivyo na anavyosimamia sheria katika majukumu yake. One man show n mtu asiye jali mawazo au maono ya wenzake na haih3shimu sheria bali huamini katika utashi wake pekee. Sasa sidhani kama hulijui hilo.
 
Mbowe ndiye kafanya Chama kisiaminike. Hivyo akipewa uwenyekiti anaenda kuzika mazima ile imani ndogo iliyopotea. Amekosea sana kuamua kugombea!
Kwanini akijafa mpaka sasa.
Yani kife kwa sababu ya mtu!
Kama wanachadema wana akili basi wajenge taasisi imara sio mtu imara.
Huyo Lisu akitokea hayupo ina maana na chama ndio kinakufa?
 
Kuna mambo sio mpaka uulize mwamgalie mtu alivyo na anavyosimamia sheria katika majukumu yake. One man show n mtu asiye jali mawazo au maono ya wenzake na haih3shimu sheria bali huamini katika utashi wake pekee. Sasa sidhani kama hulijui hilo.
Ukisikiliza hotuba za Lisu tangu aoneshe nia ya kugombea uenyekiti umegundua nini ukizingatia hii comment yako?
 
A
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi

Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya

Mlale Unono 😄
Aende akaiokoe NCCR
 
Tafadhali sana ndugu tamsana ,naomba uweke video ikionyesha Lissu akichukua form ya kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti, maana kumekuwa na uongo na upotoshaji wa hali ya juu kuhusu huu uchaguzi wa CHADEMA.
 
Ukisikiliza hotuba za Lisu tangu aoneshe nia ya kugombea uenyekiti umegundua nini ukizingatia hii comment yako?
U one man show kwa lissu upo wapi..? Mbona ww mtu wa team mbowe unataka kupindisha maneno
 
Mimi wala sina team, hata similiki kadi ya chama chochote. Nawaangalia tu wanaharakati mnavyosukuma agenda zenu kupitia chaguzi za chadema.
 
Tafadhali sana ndugu tamsana ,naomba uweke video ikionyesha Lissu akichukua form ya kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti, maana kumekuwa na uongo na upotoshaji wa hali ya juu kuhusu huu uchaguzi wa CHADEMA.
Nenda YouTube utapata hotuba husika. Wakati anachukua na kuridisha, utaona kila kitu
 
Mimi wala sina team, hata similiki kadi ya chama chochote. Nawaangalia tu wanaharakati mnavyosukuma agenda zenu kupitia chaguzi za chadema.
Sawa si utulie sasa. Unawezaje kushabilia kitu usicho kihitaji acha uongo
 
Naomba anuani ya hiyo video huko Youtube tafadhali akichukua form ya kugombea umakamu mwenyekiti.
Nenda YouTube utapata hotuba husika. Wakati anachukua na kuridisha, utaona kila kitu
 
CDM ikipendwa na kuaminiwa na Wana chi, wewe mwana CCM na chama chako mtapata faida Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…