Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kwa hiyo nahodha mpya ni yeye!Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono 😄